Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Ubaguzi wa shule na KUBAGUANA kwenye bia RESPECTIVELY
Ahadi yangu kwako: Tutakuwa sote kwa mama Sande Jumapili kabla jua halijazama.
Ubaguzi wa shule na KUBAGUANA kwenye bia RESPECTIVELY
Baba_Enock nimeipenda, itabidi nimshauri huby asafiri kidogo angalau 2 weeks.... miezi miwili ah ah!
kwa nini yeye ndiyo asafiri??,wewe je?
au wewe majukumu ni mengi zaidi kuliko yake?.......lol
i can see the dude is SINKING
Mama wa Kwanza there's some truth in it ingawa sio kwa wanaume/wanawake wote ni baadhi yao tu.
After this mbege debe moja...then titaanza kunywa bia za mama sande...Sinking....nitafufuka na nguvu zaidi...kwa amani kamili....amani ya ukweli...
Hizo beer na kwa mama sande vina mipaka na kingo?
Kila siku huwa nafundisha vijana kuwa "Once and a while" mkiwa kwenye ndoa ni vizuri kutengeneza "distance" - say - mwanaume unatakiwa at least in two months chukua safari ya kukaa nje ya familia yako for at least three days - or - hata mwanamke pia (if possible!).. Unapokuwa mbali na familia yako (kwa wanaume) una-tend kuwa na fikra chanya na za kimaendeleo kuhusu familia yako - equally unakuwa unatengeneza mazingira ya ku-evaluate mahusiano yako na mwenza wako..
Honestly - day in & day out - sebule ile ile, kitanda kile kile, bajaji ile ile, sahani zile zile, vikombe vile vile, na mwenzi pembeni - inachosa sana akili but uwa tunakuwa wanafiki tu! kwa wale wanaume wanaopata kinywaji angalau "space" inakuwepo, lakini wale wa kutoka nyumbani kazini na kutoka kazini nyumbani mnawapa kero wake zenu - nyie hamjui tu!
Ni kweli, mwanamke mnavyozidi kuishi wote, the so called "mapenzi" yanazoeleka na siyo kupungua - kwa maana matendo yote yanayotengeneza au yanayotimilisha "mapenzi" yanakuwa ni "routine" - "Appreciation" kutoka kwa mme inakuwa hamna maana hakuna "jipya" and as the result mwanamke anaanza kuona ni "business as usual"... Kufuliwa nguo, kuandaliwa chakula, kukukaribishwa nyumbani, mabusu tele tele, kupigiwa simu mara kwa mara, e.t.c vinakuwa ni vitu visivyokuwa na msisimuko anymore! And therefore kwa kipimo cha kawaida cha mapenzi kunakuwa na "diminishing return"! Mapenzi yamekwisha siku hizi by Banana Zoro...
Vipi, mwambie Mr awe anachukua vi-trip ofisini lolAsante sana TF ...kwa mawazo yako bado natafakari