Kimya...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Kwa jinsi wanavyoonekana,pamoja na kufanyika madhila mengi,watanzaniania wasionwe mabwege. Kwani ilisemwa kuwa...

Kimya kina mshindo mkuu, ndivyo wambavyo wavyele;
Kimya chataka kumbuu, viunoni mtatile
Kimya msikidharau, nami sikidharawile;
Kimva kina mambo mbele; tahadharini na kimya.

Kimya ni giza kizushi, kuzukia walewale
Kimya kitazua moshi, moto msiyafumbule;
Kimya kina mshawishi, kwa daima na milele

Kimya vuani maonzi, vuani mato muole;
Kimya kitangusha mwanzi mwendako msijikute
Kimya kina mambo mbele; tahadharini na kimya.

Bwana Muyanka bin Haji,
Kimya msidhani ni ishara ya amani

Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania,1994(J.K.Nyerere)

Kaeni chonjo viongozi wetu na wapambe wao...

Peace is not the absence of war!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom