Elections 2010 Kimya cha CHADEMA kikubwa

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
WanaJF nimekuwa najiuliza kwanini CHaDEMA mpaka sasa hawajatangaza Rais atakayechuana na JK au Chibuda etc. Kimya hiki kinanipa wasi wasi kinaweza kuwa kizito na cha kutingisha Medali ya siasa za kiTZ
WanaJF muna mtazamo upi kuhusu kimya hiki??
 
kwani ccm wametangaza? form za kugombea uraisi chadema bado hawajaanza kutoa sasa haraka za nini?. Google chadema uende kwenye web yao mengi utayapata huko.
 
kimya kikuu kina mshindo ...............na tusubiri huo mshindo mkuu
 
WanaJF nimekuwa najiuliza kwanini CHaDEMA mpaka sasa hawajatangaza Rais atakayechuana na JK au Chibuda etc. Kimya hiki kinanipa wasi wasi kinaweza kuwa kizito na cha kutingisha Medali ya siasa za kiTZ
WanaJF muna mtazamo upi kuhusu kimya hiki??

Na Hilo ndilo Tego, na hapa CCM ni lazima kichwa kiwaume. Nadhani mgombea wa CHADEMA ni mpaka mwezi wa SABA
 
Still connecting the dots

20091221_4col-img-salim.jpg
 
i hope so, we need a change. chama cha CCM tumekichoka, hayati nyerere kaondoka na CCM:angry: wafisaji wakubwa. na current raisi onvy ovnyo
 
mhh!!! nadhani atakuwa amejimaliza kisiasa maana CCM kwa smear campaign tu mwisho sijui labda atakuwa amejiandaa but huyu akigombea hata wanaCCM watampa maana ana nguvu kuliko huyo JK
 
mhh!!! nadhani atakuwa amejimaliza kisiasa maana CCM kwa smear campaign tu mwisho sijui labda atakuwa amejiandaa but huyu akigombea hata wanaCCM watampa maana ana nguvu kuliko huyo JK
But he has nothing to lose
 
mhh!!! nadhani atakuwa amejimaliza kisiasa maana CCM kwa smear campaign tu mwisho sijui labda atakuwa amejiandaa but huyu akigombea hata wanaCCM watampa maana ana nguvu kuliko huyo JK

Ajimalize kisiasa kwa siasa gani, za CCM? You must be in a different world all together. Huyu bwana ni wa kimataifa for your information, wala hafai kwenye siasa zenu za majitaka! Hata hivyo anaweza kuwa Rais mzuri sana na akairudisha nchi kwenye mstari unaotakikana. CHADEMA wakifanikiwa kumpata watakuwa wamelamba dume!
 
Back
Top Bottom