Kimodo hangaika nacho

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Hapo sasa wale wadada wa kufanya dayati

11036_1311884836968_1226057200_30950971_422776_n.jpg
 
hahahaa!! duh!! e-banaee! yani hana nyama hata kidogo, ni mifupa na ngozi tu!
 
mbona uso una nyamaaaaaaaa????????????yani uso umetononoka..........:mmph::mmph:
 
mbona uso una nyamaaaaaaaa????????????yani uso umetononoka..........:mmph::mmph:


hiyo ndio tofauti ya mwembamba wa asili na wa kujikomdesha.,...wa asili sura yote hubaki imejaa,..ila wa kujikondesha/wa njaa sura humuumbua,...inkuwa ya kitapiamlo
 
Back
Top Bottom