Kimetoweka tena!!

sikitaki hicho kitufe cha thanks! Watu wanapeana kizuzuzuzu!! Hatutaki ujing.a mtupu!

Shhhhhh wenyewe wataanza kukuteta wakija hapa. Usikute tayari washaanza kupigiana simu na kuambizana....wengine hata PM washatumiana ......teh teh teh....
 
Kweli kabisa.

Ni kheri wakipotezee tu kwa sababu kilishapoteza maana kabisa. Manake ilifikia sehemu hadi zinaombwa kabisa na vijitu vikanogewa na kuanza kamchezo ka kugongeana.

Unakuta wenyewe wanakumbushiana kabisa...'asee mamiii hebu tenda haki kwenye post namba so and so'.....teh teh teh....

There are a whole bunch of big babies up in here.

Hahahahahaha lol! NN umenichekesha sana .... hebu check tena nimeshakugongea lol!....now you see it, now you don't (hicho kinyangarakata cha THANK)
 
Hahahahahaha lol! NN umenichekesha sana .... hebu check tena nimeshakugongea lol!....now you see it, now you don't (hicho kinyangarakata cha THANK)

You are cracking me up my friend!

Tena kama hiyo haitoshi, unakuta mtu anaikopi na kuipesti hiyo senksi yake halafu anamnukuu huyo mshikaji aliyetoka kumgongea na kumwambia 'unaona mwafulani'....'mimi nimekugongea na wewe nenda kanigongee sasa' teh teh teh

Yaani vituko vya humu saa ingine huzidi hata vile vya disko vumbi!
 
You are cracking me up my friend!

Tena kama hiyo haitoshi, unakuta mtu anaikopi na kuipesti hiyo senksi yake halafu anamnukuu huyo mshikaji aliyetoka kumgongea na kumwambia 'unaona mwafulani'....'mimi nimekugongea na wewe nenda kanigongee'

Yaani vituko vya humu saa ingine huzidi hata vile vya disko vumbi!

hahahahahahah lol! Ndiyo vituko vya JF hivyo (where we dare to talk openly) kuna haja ya wamiliki wa JF kuushika usukani wa JF kwa nguvu ili kurudisha katika muelekeo unaokubalika na wengi vinginevyo chombo hiki kitaenda mrama.
 
Hakina umuhimu, kinaöngezeka Inferiority complex kwa sisi ambao hatutapata thanks.
 
Hakina umuhimu, kinaöngeza Inferiority complex kwa sisi ambao hatutapata thanks.
 
NN na BAK....mnanivunja mbavu hapa......
kumbe mlikuwa mmenyamaza kimyaaa wakati mnayaona?????/lol

Mpango mzima ulivyo hivi sasa ni kwamba ukisoma post yangu yoyote na kucheka basi ujue nakudai! Kama kitufe cha senksi kipo unanigongea. Kama cha senksi hakipo ila cha laiki kipo basi unanigongea laiki.

Kama vyote vipo unanigongea zote senski na laiki. Sasa rudi kule kwenye hiyo post au hizo post zilizokuchekesha unitendee haki. Usimsahau na Bubu pia. Na yeye mtendee haki yake. Ukishatenda hizo haki uje ubandike post ya kunijulisha.

Sawa Boss?
 
lol..............
 
Back
Top Bottom