Kimeo kipya cha JK China balozi aliyelala usingizi mpaka sasa

zomba na shidwa kukuelewa unajua ubalozi wetu china au unaongea tu kunawasanii wa kutupwa pale juzi tu hapa kulikuwa na issue ya wanfunzi kuhusu OLAS kunamwakilishi mmoja anaitwa G. Manongi alikuja na sera kibao lakini alipoona ameshindwa kaa kimya mpaka mwanafunzi mmoja akajitolea kuwasiliana na hao OLAS kilichofuata hapo. kana baadhi ya wanafunzi hawjafanya registration mpaka leo kuna mmoja alimuandikia huyu mwakilishi wa wanafunzi kuwa hajafanya registration jibu alilompa " no coment" hivi ungekuwa ni wewe ungemuonaje huyu mtu aliyeletwa nataaifa kusaidia watanzania kinachofuata hapo anafanya usanii wa kujibidisha na shughuli zake binafisi (biashara) bila kujali tunapata matatizo gani. tusitetee ujinga serikali ijue haina mwakilishi alikuja kuwakilisha nchi kwa masilahi ya watanzania bali ya kifamilia. ukitaka muelewane waambie niko shang'hai utaona kunabiashra gani tuanayoweza fanya bila kujua wewe umekuja china kwa shughuli ipi hili lilisha nipata mimi napiga simu najitambulia anaiuliza mkuu tunaweza fanya biashara gani kabla ya kujua tatizo langu ni lipi na niko china kwa shughuli ipi.

Haya sasa na taarifa wanayo mtu anasema no comment then mwingine anakuja kusdma apewe muda! Yani umekuta msiba utasema upewe muda? Wanaposema uteuzi unaanza mara moja maana yake nini? Suala la kusema eti anashughulikha nchi nyingi kwani si walijua wanahitaji mtu mwenye sifa gani?
 
Hii ndiyo serikali yetu kaka na Hadi sasa hata huku nyumbani issue bado Tata Kila siku maisha ya akiwa magumu sana kiasi watanzania wanakata tamaa ya maisha.

Dawa ya haya yote ni kuufanyia over hole mfumo wote wa utawala NCHINI kwetu ndipo HIZI KERO ndogo ndogo zitakapopunguzwa kama si kumalizika kAbisa.

Mungu IBARIKI Tanzania na watu wake wote!.
 
wewe unafikiria masaburi inamaana unafurahia kupigwa na wachina? kabla ya kuja na solution unaleta ujinga mbele ya maisha ya wenzio.

Kupigwa na wachina kama umewakosea adabu ni sawasawa, ukiwa kwa watu fanya heshima na adabu, unawapelekea unga mbovu wakikulamba makofi uje kulalamika "nimepigwa"?
 
Zomba hizo nchi unazoongelea zina ukubwa wa Singapore or Zanzibar, Vatican nk au ni nchi kama Canada, US, Russia na nyinginezo kubwa? I don't think what you are trying to potray is realistic due to different sizes of countries around the globe. But after all our diplomats representing our country enjoy a treasure of information at their finger tips from reliable sources, funds and network rather an individual Tanzania travelling overseas. It's unrealistic if you are heading say at a certain place South of US and our embassy is in Washington and the prior to heading there you first call your embassy so as to furnish it your safari. It's not possible and unworkable. However, if you counter any problem while in a certain country our representative likes of embassies cannot divorce themselves from rebdering any support. Or at hearing that there's a Tanzanian who is unffortunately in risk/danger or any unpleasant occasion, cannot just hold up hands for the reason that someone never reported prior to travelling. They have and must find out and if the discover that the respective person bears Tanzanian passport, they are dutybound to come to rescue. This is there responsibility and duty and needs commonsense even if they never went to diplomacy studies. Tuachane na kuwa ukishapata nafasi unageuka kuwa Sultan. If someone offers to become a diploat or a public leader one has got to humbly serve and save
 
  • Kama tulivyotabiri baada ya uteuzi wa mchovu Philip Marmo kuwa balozi china….tayari dalili za udhaifu wake kama balozi wa TZ uchina zimeshaanza kujitokeza kwa kasi ya ajabu…..China..nchi yenye uchumi imara na wa kasi zaidi duniani….nchi yenye watu wajanja wajanja ambao wanatumia sana udhaifu wa wengine kujinufaisha…iwe kiuchumi kama nchi au hata kibinfsi…kila mtu kwa nafasi yake…Kwa muktadha huu…wengi walitegemea balozi wetu kule uchina awe mtu makini na aweze kulinda interests za TZ na watu wake kule uchina….jambo ambalo linaonekana kuwa bado ni kitendawili kwa muda mfupi tu huyu jamaa aliokaa kule china…Nasema hivi kwani watu makini lazima wafatilie nyendo za utendaji wa ubalozi wetu kule china….hasa ikizingatiwa kuwa kwasasa TZ imekuwa inafanya deals nyingi za kimagumashi kule china…rejea mikataba tata….manunuzi tata….biashara tata….etc etc ..Mambo (indicators) machache yanayonifanya nianze kuhoji utendaji wa huyu balozi kule uchina ni kama ifuatavyo……



  • Tangu amefika uchina…balozi Marmo mpaka sasa hajakutana wala angalau na watanzania walioko uchina….wawe wanafunzi au wafanya biashara…..sasa huyu anamsubiri rais JK aende uchina ndio akutane na watanzania au vipi???...yeye balozi anawakilisha interests za nani uchina kama mpaka sasa ameshindwa hata angalau kuitisha mkutano na watanzania????....nina taarifa kuwa kuna jitihada za wanafunzi kule uchina za kukutana na balozi lakini hakuna initiative yoyote toka kwa balozi mwenyewe ya kukutana na wanafunzi…..haswa ikizingitiwa kuwa yeye ni mgeni china na labda kuna mengi ya msingi ya kuisaidia TZ na pia kusaidia utendaji wake angeweza kujifunza toka kwa wanfunzi ambao ndio msingi mkubwa wa maendeleo ya TZ…..China ina wanafunzi wengi saana watanzania kuliko sehemu yoyote duniani…..hawa ni nguvu kazi ya kuangalia sana…na ni hili ni jukumu la balozi……

  • Tayari kuna taarifa(hazijathibiishwa)kuwa kuna wafanyabiashara wamepigwa vibaya na wachina hivi majuzi kule Guanzhou…mji ambao watanzania wengi wafanyabiashara hushukia na kuchukua mzigo….biashara kubwa kule kariakoo hutoka uchina…haswa katika mji huu wa Guanzhou…..sasa kama kuna taarifa ya wafanyabiashara kupigwa kule hii si nzuri na tungetegemea kusikia tamko la ubalozi wa TZ kule uchina…lakini kinyume chake tunasikia habari hizi kwenye magazeti..tena ya udaku….wakati kuna uwezekano kweli kuwa watanzania hawa wemepigwa……..soma habari hii (pamoja na kuwa yaweza kuwa udaku): WABONGO WALA KICHAPO CHINA - Global Publishers

  • Kuna taarifa za wanafunzi wa kitanzania uchina kupata shida kubwa ku access mtandao wa bodi ya mikopo TZ..yaani OLAS….jambo lililopelekea wanafunzi kulalamika sana na hata kutuma habari bodi ya mikopo moja kwa moja….mpaka ikabidi wanafunzi wasaidiane wao kwa wao kwa kumtumia mwenzao ambaye ana direct contact na bodi ya mikopo…haya yoote yamefanyika wakati ubalozi wa TZ kule uchina upo….Sasa ubalozi wa TZ unawakilisha interests za nani???kama jambo kama hili nalo wanafunzi wameona ubalozi ni helpless mpaka wakachukua jukumu wenyewe (kwa contacts zao)kuweza kusaidiana!!.......Kama balozi angekuwa ameonana na wanafunzi jambo hili angekuwa ameabiwa na kulifanyia kazi kwa wakati…kwani halijatokea mara moja kwa wanafunzi hawa….na matokeo yake siku zote ni kwa wanafunzi hawa kucheleweshewa fedha zao za mikopo toka bodi…..

Kwa hizi indicators chache nilizotaja…nashawishika kusema kuwa balozi Marmo bado amelala….na ni wakati sasa kwake kuamka na kuchapa kazi aliyotumwa..kwa kuanza na kushughulikia kero kadhaa zilizopo…pamoja na kulinda maslahi ya TZ na watanzania kule uchina…..vinginevyo…hatutamwamini kuwa anawakilisha interests za TZ uchina…..nawasilisha…

Yule kaenda kwa kazi ya kuomba omba na si kuwakilisha maslahi ya watanzania .
 

Kaenda CHINA Mwezi Mmoja Uliopita; yeye Sio Balozi wa Tanzania anayeiwakilisha CHINA pekee anawakilisha VIETNAM, HONGKONG, INDONESIA to name the few

Huo ni Ubalozi Mkubwa anahitaji angalau Miezi zaidi ya Mmoja kuwa angalu mwenyeji ndio apate muda wa kuangalia na kukutana na Watukufu Wanafunzi; Kuangalia Hiyo Mikataba Unayoitaka Iangaliwe.

Wapeni Muda, Sasa tuna Internet kila mtu anajua Majukumu ya Mawaziri wetu Mabalozi wetu ?

* KWELI ANAHITAJIKA ANA MWEZI MMOJA TU, NADHANI HAJAPELEKA HATI ZA KUJITAMBULISHA NCHI NYINGINE.

*** Uliona Balozi wetu wa Uingereza Juzi Juzi tu ndio alipeleka Utambulisho wake Ireland, na amekuwa huko kwa Mwaka Mmoja? Ni Kazi.

**** Siitetei CCM; Natetea Mfumo wa kazi ninavyoujua Sio Rahisi...
we umempa muda gani???au JK alimpa muda gani???ni muda gani hutolewa kwa mabalozi kuanza kufanya kazi zao za kibalozi????..huyu jamaa Marmo hati za utambulisho alishapeleka kwa watawala wa uchina...acha kutetea uvivu bana...haya ndo tunayozungumza kila siku TZ.....wapeni muda...wapeni muda....Btw..sijui kama unajua kama kuna maswala ambayo hayaitaji kupotezewa muda??..mfano...swala la wanafunzi kushindwa kujisajili na hata kushindwa ku meet deadline ya kuomba mikopo bodi hallitaji kupotezewa muda....au yeye balozi atakuwa tayari kuwahudumia wanafunzi wataokosa mikopo watakapoandamana kwenda ubalozini???kwa kushindwa kumudu maisha....kisa wamekosa msaada toka ubalozini...kwa kuwa eti balozi anahitaji apewe muda!! wake up dude....
 
Kupigwa na wachina kama umewakosea adabu ni sawasawa, ukiwa kwa watu fanya heshima na adabu, unawapelekea unga mbovu wakikulamba makofi uje kulalamika "nimepigwa"?

Miafrika bana huwa haipendani kabisa yani wewe unanifanya nikumbuke usemi wa kaburu Botha alisema- if you think africans are human beings, give them GUNS and they will start killing among each other! Sasa we bwana Zomba unaonekana hata busara huna, ni kwamba mambo ya diplomcy hata jeshi hutumia diplomacy before engaging any other means of force.
 
Mna bahati sana mpaka sasa laptop yangu inakataa ku "reply with quote", Kwa ufupi, arguments zenu zote hazina mshiko hata kidogo. Hivi nyinyi mnazo reports za kidiplomasia zote kutoka china zinazorudishwa wizarani kujuwa kuwa hilo jambo halijaripotiwa? kama hamna inabidi kfunge vinywa tu. Kuna kati yenu anaweza kweli kusimama akamshutumu Kikwete kwa mambo ya kidiplomasia? hamjui kuwa kakaa miaka 10 kama waziri wa mambo ya nje? hamjui pia kuwa hata boss wake wa siki hizo (Mkapa) nae ni mwana diplomasia? Marmo kama balozi kakosa nini zaidi ya majungu yenu tu? Huyo Mtanzania aliyepigwa alikwenda kufanya biashara ipi? alikuwa anakaa wapi china? alijiandikisha ubalozini kuwa yupo china? Mnakuwa na lawama zisizo na kichwa wala miguu, kitu kido ooohhh, Kikwete. Huyo Kikwete tazameni cV yake halafu ndio muanze kupayuka. Kuna kati yenu anayeijuwa diplomasia zaidi yake? "uneducated fools from uneducated schools".
 
Hahaha sen cok problem arkadas yaaaaaaa. Sen nerde kanka?


QUOTE=zomba;4046024]Nderingosha, You simply do not understand what diplomacy is, I feel pity for you. A diplomat can only facilitate and advose you on the best ways to conduct your business in China if you register to him and go with particular requests, A diplomat can never come and rescue you when you are not even known to exist in China. You simply do not know what diplomacy is. You screw up in China you pay for it not the Ambassador nor The President. Bu diplomasinin ne olduğunu bilmek çalışmasını durdurmak[/QUOTE]
 
Good observation!

But the "indicators" discussed are one sided! They don't succinctly tell the weaknesses of Amb. Phillip Marmo! The rumourville indicators are merely on students and on "businessmen/women" being beaten in Guanzhou City - one of the manufacturing city of China. There are no data that tell the reasons for instance for the "businessmen/women" being beaten and the number of "businessmen/women" beaten. Otherwise, I concur with the student's efforts exerted by seeking to meet the Ambassador though their efforts has proved to be in vain. However, justifications and evidence should be provided on the efforts rendered by the students.

JK appointees has been a mess and their competencies has proved to be questionable and of more burden to the Tanzanians and Tanzania. Philip Marmo represents the inefficiencies and effects of friendly government of JK. But, please lets discuss their inefficiencies and incompetencies by coming up with concrete data otherwise someone for instance may think that you're student or the beaten businessman/woman who seeks some favors from the ambassador or you have something fishy in mind.
 
Good observation!

But the "indicators" discussed are one sided! They don't succinctly tell the weaknesses of Amb. Phillip Marmo! The rumourville indicators are merely on students and on "businessmen/women" being beaten in Guanzhou City - one of the manufacturing city of China. There are no data that tell the reasons for instance for the "businessmen/women" being beaten and the number of "businessmen/women" beaten. Otherwise, I concur with the student's efforts exerted by seeking to meet the Ambassador though their efforts has proved to be in vain. However, justifications and evidence should be provided on the efforts rendered by the students.

JK appointees has been a mess and their competencies has proved to be questionable and of more burden to the Tanzanians and Tanzania. Philip Marmo represents the inefficiencies and effects of friendly government of JK. But, please lets discuss their inefficiencies and incompetencies by coming up with concrete data otherwise someone for instance may think that you're student or the beaten businessman/woman who seeks some favors from the ambassador or you have something fishy in mind.
First of all...these are real observations....they all happened in china..they are not rumors as you put it......secondly,...what numbers (stats)do you need!!..this is not a case for numbers here...i mean..if one Tanzanian is beaten up abroad..you don't need to wait for the second one or third one to be beaten up again..to add to the numbers as you put it.....Btw..talking about numbers..if you ever happen to talk to Tanzanians who have been in China(especially Guanzhou).you will hear that beatings to blacks are a common occurrence over there....Serious countries do this...they don't wait for numbers if their citizens get into troubles abroad(even if its only one citizen)....america does this often..and we in TZ pretend to follow america(while doing the very opposite)....If one Chinese is beaten up in TZ..i'm sure their embassy in Dar will react....and we have seen this before....As for students....these are people to take care even closer....because they are more vulnerable to problems...especially financial problems...considering that most of them rely on HESLB for mikopo....As for me....get it from me...i only put forward these observations based on my real sources who see there inefficiencies from the TZ embassy in china....if i have something fishy in my mind...why come and put it here?? come-on dude!!..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom