Kimeo cha ijumaa weekenda

Mlima Tarime

Member
Jan 27, 2012
14
1
Washikaji jana nimeanza weeknd na kimeo balaaa ,Katika sehem niliyo kuwa nimetulia nilishare meza na mama moja ukimuona utazani bibi hivi,basi alipokolea kinwaji nilishangaa sana kuniambia kuwa hajawahi olewa na miaka 39 ,hana mtoto aliniomba nimtaftie Mchumba na yafuatayo mchumba wake huyo asiwe na shaka:a/Mahali anayob/Maandalizi ya harusi juu yake c/Tayari yeye ni mtumishi wa serikali ka wewe huna kazi 20,000,000 zipo za kuanzia .d/Anna gari la kutembelea ila hajui kendesha ,wewe ndo utakuwa shofel wake .kama vipi changamka ,mawaslianop yake ninayo ,ikiwa ni bahati yako ukampata 20m ,10% ni yangu mjomba .
 
Kaaaazi kweli kweli. . . yani mpaka komisheni?

Haya kila la kheri wote watatu maana wote mna cha kufaidi.
 
Ng'ombe azeeki maini kijana . Weka picha yake tumwone unaweza kuta anafaa kwa matumizi ya binadam . Hiyo chapaa mi siitaji nina mikono na akili ya kufanya kazi.
 
Vp na sie ma underground,tunaruhusiwa kutuma maombi.
 
Sasa wewe unamjua huyo mdada unamwita kimeo,na sie wapita njia itakuwaje? Napita tu
 
kaazi kweli kweli, hivi bado kuna watu wanawazia zali la Mentali.
 
We dalali ni noumer mwishowe utaomba uwe wa kwanza pia kwenye mambo fulani, we toa namba watu wajimwage wenyewe hakuna haja ya dalali tena, dili likitiki wewe unakuwa dereva wetu
 
Washikaji jana nimeanza weeknd na kimeo balaaa ,Katika sehem niliyo kuwa nimetulia nilishare meza na mama moja ukimuona utazani bibi hivi,basi alipokolea kinwaji nilishangaa sana kuniambia kuwa hajawahi olewa na miaka 39 ,hana mtoto aliniomba nimtaftie Mchumba na yafuatayo mchumba wake huyo asiwe na shaka:a/Mahali anayob/Maandalizi ya harusi juu yake c/Tayari yeye ni mtumishi wa serikali ka wewe huna kazi 20,000,000 zipo za kuanzia .d/Anna gari la kutembelea ila hajui kendesha ,wewe ndo utakuwa shofel wake .kama vipi changamka ,mawaslianop yake ninayo ,ikiwa ni bahati yako ukampata 20m ,10% ni yangu mjomba .

Charity begins at home! Kama hizo baits ni dili kwanini usichangamkie wewe?
 
Miaka 39 hajawahi olewa wala kuwa na mtoto, huyo lazima atakua na matatizo sana! Imagine alianza kuvua kufuli akiwa na 15 yrs , sasa 39 - 15 = 24 yaaani hapo ni chapa ilale daily we unadhani kuna usalama kweli? mhmh shauri yenu wenye njaa na hiyo 20 mill. mta-shaaa!
 
Mtoa mada, huu udalali umejisajili brela? Manake tutakufuatilia kodi yetu utupe, serikali imefulia aisee
 
Back
Top Bottom