Kimenuka Zanzibar!!!

Jamani hawa watu waishi wenyewe trust me wengi wataumia aiseee tuvunje huu muungano

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Sidhani kama wanahitajika bara...halafu kutokana na mabadiliko ya kijiografia Zanzibar itafutika baada ya miaka michache
ijayo.
 
Hawa watu tuachane nao waishi wenyewe laa sivyo ioo siku kitanuka kweli kweli

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Vita ya Rwanda ilianza kiutani utani....mwisho wake mauaji ya kimbari.
 
Sijawai kusikia vitu vizito huko zanzibar kama awana wakaazime kule iringa
 
Back
Top Bottom