Hili bifu kati ya madaktari na polisi itafikia hatua askari akienda hospitali hajitambulishi kuwa ni njagu maana anaweza kupigwa sumu. Polisi jiangalieni sana, mnaapenda sifa lakini zamu yenu ikifika na ukajikabidhisha kwa daktari itakula kwako. Mtafanyiwa operation bila ganzi...
punguza pombe yako naona imekuwa kali zaidi kama jina lako(Pombekali) naona umepishana na fire akili yako ikakupa kuwa ni f.f.u mbona kote shwari,au ni kiwewe tu!
radiocall yao inafatwa kwa defender,daktari wetu hata kumfikisha dispensary walishindwa.....
Madaktari chondechonde Kwani pesa zinatafutwa lakini uhai ni inshuuu
Una maneno wewe...upo??Kumbe huku ndo chimbo laaakooo.
safi sana wanafikiri wale ni wanafunzi wa vyuo!!!!!!!!
Una maneno wewe...upo??