Kimenuka Tarime, Heche asakwa na Polisi

Kwa maslahi yapi uliyoyaona kwa awamu hii ya kikwete...unajua deni la taifa kwa sasa ni kiasi gani? unakumbuka wakati anaachiwa nchi hazina kulikuwa na kiasi gani? je deni likuwa kiasi gani?...vipi bei ya vyakula nikupe mfano kikwete anachukua nchi bei ya mchele ilikuwa TZS 650 sasa hivi mpaka TZS 3000, kiberiti 25 sasa hivi 100...ngoja nikomee hapo

Sio kila shida zako ni CCM ndio imesababisha, shida zingine ni matokeo ya yale uliyoyatengeneza kwa mikono yako.

Wewe kwa akili yako unadhani Chadema wakichukuwa nchi watakuwa wanagawa pesa huko ni kujidanganya ninachokushauri fanya kazi kwa bidii maisha hayana mkato serikali yako ni kichwa chako.

Acha kukaa vijiwe vya Unga Limited, Sakina, standi ya vifodi.
 
wazee wa ccm dodoma wamewaomba wanachama wa ccm kumpendekeza mgombea urais ambaye hataanguka hovyohovyo kwenye kampeni zao.maana wananchi wengi wameona mtu wa namna hiyo anakuwa na nguvu za giza,na hivyo kuwaomba masheikh na wachungaji kuwaombea wagombea wote kusudi wasiwatie aibu mbele ya wananchi tendo hilo linaoneka kwamba kiongozi wa namna hiyo anaongozwa na mapepo na na nguvu ya giza na si uadilifu na chaguo la wengi.
 
so wapi amemkashifu mbona sijaona kashfa kwani ni ukweli usio pingika kwani nikwel kabisa kwamba baba Riz huwa anapishana na ndege za madini .
 
Daima Ukweli unauma sanaaaaaaaaaaaaa watanzania tunapaswa kujifunza tulikotoka na tuendako hivi hata yale yanayotagangazwa kila siku nayo hatuyasikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wala hatuyaoni. mwenye macho aambiwi tazama, mwenye masikio aambiwi sikia kama hatupendi kuambiwa ukweli ngoja kimbunga cha matatizo kinachotujia.
 
Heche ni mtu ambaye hana upeo wowote zaidi ya kuongea kwa jazba tu anasema Rais anaomba sana mbona yeye Heche mwenyewe bado anakaa kwa kaka yake Sinza.

Ha ha haaa, Ritz wacha kujidhalilisha wewe umekua siku hizi.
Mara hii umeshasahau kwamba ni wewe ulikuwa unapiga kelele hapa kwamba Heche amepangishiwa nyumba na Chadema? leo tena umehamia sinza kwa kaka yake? Kwa taarifa yako sisi wakurya kwa kaka yako ama mdogo wako ni sawa na nyumbani kwako. Chukua hiyo kama ulikuwa hujui.
 
Last edited by a moderator:

mwulize Ritz, hayo masuala binafsi ya Heche yanahusianaje na Uongozi wake Chadema?
 
Ha ha haaa, Ritz wacha kujidhalilisha wewe umekua siku hizi.
Mara hii umeshasahau kwamba ni wewe ulikuwa unapiga kelele hapa kwamba Heche amepangishiwa nyumba na Chadema? leo tena umehamia sinza kwa kaka yake? Kwa taarifa yako sisi wakurya kwa kaka yako ama mdogo wako ni sawa na nyumbani kwako. Chukua hiyo kama ulikuwa hujui.

Mwita Maranya
Uzuri JF kuna Hansard ebu weka hayo maneno yangu kuwa nilisema Chadema wamempangishia nyumba Heche ukiweka najitoa JF. Mie nachofahamu Heche anakaa kwa kaka yake Sinza...

Msalimie Chacha Manko na Zakaria mzee wa tindi kali....nilikuwa na rafiki yangu Mkurya marehemu Masubo.
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyo M/kiti wa CHADEMA huko Tarime anasubiri nini kwenye hicho kiti? Fukuza huyu mpuuzi? Msaliti yoyote ndani ya chama fukuza bila hata kikao. Kwanini analelewa kama yai? Fukuzeni huyu haraka sana.
 
Heche ni mtu ambaye hana upeo wowote zaidi ya kuongea kwa jazba tu anasema Rais anaomba sana mbona yeye Heche mwenyewe bado anakaa kwa kaka yake Sinza.

Mkuu Ritz, naomba nikuulize, kuna uhusiano gani kati ya mtu kuomba sana na mtu kukaa kwa kaka yake?
Asante.
 
Sio kila shida zako ni CCM ndio imesababisha, shida zingine ni matokeo ya yale uliyoyatengeneza kwa mikono yako.

Wewe kwa akili yako unadhani Chadema wakichukuwa nchi watakuwa wanagawa pesa huko ni kujidanganya ninachokushauri fanya kazi kwa bidii maisha hayana mkato serikali yako ni kichwa chako.

Acha kukaa vijiwe vya Unga Limited, Sakina, standi ya vifodi.
Sikumbuki mara ya mwisho kukaa kijiweni na chapakazi mkuu lakini nashangaa Serikali imeanza kutafuna na pensheni yangu licha ya pesa nyingi tu kuilipa kila mwezi..chadema ni tumaini langu kwa sasa lakini kama wataingia madarakani na kubadilika kama walivyo mabwepande nitaangalia chama kingine kwa wakati huo lakini kwasasa ni chadema...

tuma neno CHADEMA kwenda 15710...uiwezeshe chadema kutinga Ikulu.
 
Polisi wetu wana kazi kweli. Wanatumika kama robots, hawana utashi na wanakubali kuweka weledi kando na kutumikia siasa.
Alichozungumza Heche ni kweli mia kwa mia.
 
Kwani lipi la Uongo hapo?
Nchi ambayo kila siku inaomba misaada tu wanataka iitweje?
Nchi ambayo ndege inatua na kubeba Twiga na Tembo wanataka iitweje?
Nchi ambayo Ndege inatua na kubeba madini bila kuhakikiwa Wanataka iitweje?
Rais anayeenda kuomba omba Misaada kila kukicha mnataka aitweje?

Si lazima kila ukweli usemwe. Kuna ukweli unaoitwa "The hard cold fact" Mfano kila mtu anajua atakufa. ila hakuna anayependa kuambiwa juu ya kifo chake. Hivyo alichosema mkuu ni ukweli, ambao hautakiwi kusemwa. Hilo ndilo kosa. Mimi naona ana shtaka la kujibu.
 
Kuna mijadala mingine unakosa hata cha kuchangia maana kusoma tu majibizano ni burdan tosha! i wish ingekuwa ni live kwenye Teeviii halafu mwendesha mdahalo awe Bwana Mkinga!
 
Eti anaomba kwa maslahi ya taifa... !! Huna hata aibu maslahi gani hayo, na yamesaidia nn zaidi ya kuongeza umasikini. Tueleze tangu amejikomba-komba kwa Obama eti laisi wa kwanza afrika kwenda kumpongeza imesaidia nn inji hii ? Au vibajaji na michele mibovu wanayoleta wale waajiri wako ndiyo unaona maslahi ya taifa ?

Kuna fedha haramu zaidi ya za hao akina Manji, na wauza unga wakubwa ambao ndo waajiri wenu ?? ( Mwambie basi ataje majina maana kila siku ohhh ninayo majina lkn hataji maana ya juu yote ni ya watoto, ndg na jamaa zake !!)

Afadhali JK anaomba kwa maslahi ya Taifa , zile pesa wanazochangisha CDM wakiwa wavekwiva kwenye suti kwenye mahoteli makubwa hapa nchini kusafisha fedha haramu wanazoletewa na wazungu hao hao zinafanya nini?
 
Hongera Kamanda Heche kwa kusema ukweli. Napenda kutoa wito kwa viongozi wa Jeshi la Polisi kutopenda kutumika kisiasa wakumbuke kufanya kazi yao na si kufanya siasa. Alichokizungumza Heche ni ukweli mtupu sasa wao wanamtafuta wa nini?

wajue itafika wakati watakuja kujibu tuhuma zote ambazo walikuwa wanatumika kisiasa.
 
Back
Top Bottom