Kimenuka Tanga

jesus should save us from people like you, fitina waki dini, who hides himself under the cover of the holy bible, you are traitor to jesus teachings

mkuu inawezekana nikawa nimekosea, ila lengo langu lilikuwa kuhoji sababu za msingi za wenzetu kufanya walicho kifanya. maana mpaka sasa wameshindwa kabisa kutoa reasonable arguments za kutenda hivyo, na kilichoripotiwa moro hakikuwa picha nzuri. But samahani kama nimekukwaza. Na kama nimekosea basi niitwe majina yote uliyoniita hapo juu?
Amani iwe nawe mkuu
 
in fact siyo sahihi kuwaweka waislamu wote kundi moja. wengi niraia wazuri tu ni kundi dogo sana wanao taka kupimana ubavu na serikali.HAO WANAFAHAMIKA KWA LUGHA YAO, UVAAJI WAO NA MAHUSIANO NA YAO NA WATU WENGINE.

Nakubaliana na wewe mkuu. Tatizo ni viongozi wao ambao wanajaribu kuleta mambo na chokochoko ambazo zinaashiria hatari. Siafiki serikali kutumiaa nguvu dhidi yao wala siafiki wao kufanya wanayofanya.
 
kwa nini govt imeshikia bango SENSA?mbona hakuna majibu ya why turn out ya voters 2010 ilikua ndogo sana?HAPA KUNA SIRI

kwa sababu haijui wapiga kura ni wangapi, sensa itasaaidia kujua wapiga kura wako wangapi
 
sidhani kama wewe ni muislamu, nadhani wewe ni mamluki. OK,

Mapadri (R C) wametoa takwimu feki za idadi ya watu kwa mujibu wa imani zao=WANA BUSARA (WATU WAZURI).

LAKINI

waislamu wanapoitaka serikali ihesabu watu kwa mujibu wa imani zao kuondoa utata=HAWANA BUSARA (WATU WABAYA)

kuna umuhimu wa kuwa na akili huru, ndio maana siku hizi mwizi=MJANJA, muungwana=MPUUZI. kweli dunia ina maajabu.

mkuu kwani kuna busara zaidi ya ile ya Mufti? Ya kwamba tufanye sensa ya dini kwenye dini zetu? Kwa ni kuna ugumu gani kuandikisha waaumuni wetu kwenye register book misikitini au makanisani? nadhani niz oezi la muda wa siku moja tu. sasa wasio na dini je? wao wafanyeje? kwani mgawanyo wa huduma za kijamii unalenga makundi ya kidini? No. Viongozi wamepotoka somewhere, na tunapaswa kuwakosoa maana wao si Mungu.
 
Teh teh, watu wa humu ndani kwa kukurupuka, hivi kila mkusanyiko wa watu wenye kofia na kanzu ni waislamu? wewe umejuaje kama hao watu ni ishu ya waislamu? Hivi Tanga hakuna dini nyingine? Wajumbe tusikurupuke kuwalaumu waislamu, tufahamu kuwa mandhari ya Tanga na pwani yote wanatajriba ya kuvaa mavazi yanayofanana na yale wanayovaa waislamu, sio wote ni waislamu na tusihukumu mkusanyiko wa watu waliovaa kanzu au balaghashia tukasema ni waislamu. Je kama ni mkusanyiko wa chama fulani nacho tutasema ni waislamu, je kama ni wastaafu wa East Africa walioko Tanga tutasema ni waislamu? Haya mambo hayatamfikisha Mtanzania popote pale, Na wewe mtoa maada huu tuuite ni uchochezi maana hujui hao waliokusanyika ni wakina nani na umekurupuka.
 
Ahsante Mungu sikuwa Muislamu.

Lakini sio lazima huo mkusanyiko uwe wa waislamu, yawezekana ni wafanyakazi wa bandari lakini kwa kuwa wakazi wengi wa Pwani wanavaa kofia labda na kanzu basi ni waislamu.
 
Nakubaliana na wewe mkuu. Tatizo ni viongozi wao ambao wanajaribu kuleta mambo na chokochoko ambazo zinaashiria hatari. Siafiki serikali kutumiaa nguvu dhidi yao wala siafiki wao kufanya wanayofanya.

Ukizingatia uislamu uliletwa na Mwarabu na Ukristo ulikuja na Mzungu! Watanzania twagombana ilhali waloleta dini wanakunywa kahawa na mvinyo huko waliko. Bora kuwa mnyama mpuuzi kuliko mwanadamu mwenye akili na maarifa lakini akawa mpuuzi.
 
in fact siyo sahihi kuwaweka waislamu wote kundi moja. wengi niraia wazuri tu ni kundi dogo sana wanao taka kupimana ubavu na serikali.HAO WANAFAHAMIKA KWA LUGHA YAO, UVAAJI WAO NA MAHUSIANO NA YAO NA WATU WENGINE.

Uvaaji wao upi mkuu?
Au ndio wale wanaume wanavaa suruali njiwa na wanawake kuacha pua na macho tu?
 
Ahsante Mungu sikuwa Muislamu.

Kweli kabisa!
Majini ni mashetani!
Mtume wao alipewa utume pangoni,na kwenye mapango normally yanakaa mashetani!
Nasikia ili uwe shehe ni lazima ufuge majini kadhaa{mashetani kadhaa};
sasa,uislamu ni dini ya namna gani?
Tukisema ni dini ya kishetani tutakuwa tumekosea?
 
Heshima wadau,muda huu nimepita Central Polisi na nimeona umati wa waislam na askari polisi wako attention na mabomu ya machozi nilishindwa kujua kunani cos nilikuwa na call ya kwenye tower nitarudi nipate habari kamali niilete jamvini

Jamhuri ya kiislam ya Tanga.
 
]jesus should save us[/B] from people like you, fitina waki dini, who hides himself under the cover of the holy bible, you are traitor to jesus teachings

How can he save you while in trouble he himself cried to be saved?

Elahi elahi, lamna shabaktani = Syriac (Aramaic) Mark 15:34

Eli, Eli, lama sabachthani = Matthew 27:46

like saying: "'Allah Allah lama tarak tani' (tarak tani'-forsaken me)
"'Eli, Eli, lama sabachthani' (sabachthani-forsaken me)
Gallagher, personal correspondence) Aramaic has two ways to say God, El, which is exactly the same as the Hebrew counterpart and the other way is אלה Elah. To say my God is Eli and Elahi similar to the Hebrew forms.

Pole sana unaetegemea kuokolewa na anaetegemea kuokolewa na Allah.
 
Heshima wadau,muda huu nimepita Central Polisi na nimeona umati wa waislam na askari polisi wako attention na mabomu ya machozi nilishindwa kujua kunani cos nilikuwa na call ya kwenye tower nitarudi nipate habari kamali niilete jamvini

Ukisharudi na taarifa za kutosha ni bipu na Mimi nirudi Wacha nipite kwanza
 
How can he save you while in trouble he himself cried to be saved?

Elahi elahi, lamna shabaktani = Syriac (Aramaic) Mark 15:34

Eli, Eli, lama sabachthani = Matthew 27:46

like saying: "'Allah Allah lama tarak tani' (tarak tani'-forsaken me)
"'Eli, Eli, lama sabachthani' (sabachthani-forsaken me)
Gallagher, personal correspondence) Aramaic has two ways to say God, El, which is exactly the same as the Hebrew counterpart and the other way is אלה Elah. To say my God is Eli and Elahi similar to the Hebrew forms.

Pole sana unaetegemea kuokolewa na anaetegemea kuokolewa na Allah.
Ulaaniwe mpaka mbegu zako kama unazo.
 
Back
Top Bottom