Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Lowassa atahamia NCCR, Sugu atarudi CCM, Slaa atagombana na Mbowe, Halima Mdee atahamia CCM, Lema atakuwa Mwenyekiti wa Chadema.
 
Mungu saidia Tanzania,wape uelewa watu wapate tambua kinachoendelea nchini!!!!
 
2015, piga ua galagaza, rais lazima atoke Kaskazini!

Hoja kama hoja nimeipenda ila comment zako zinawalakini maana ukishaanza kutaja ukanda hapa maana yake unataka sasa tuingize rasimi kwenye katiba kuwa utawala wa nchi yetu niwakupokezana kikanda haijalishi sifa za mtu kiongozi mwenyewe, hii ni hatari sana.

Itakuwaje nyanda za juu kusini nao wakikomaa kuwa lazima rais ajaye atoke huko na kanda yenye neema ya ziwa victoria wakasema wanamtaka Magufuli, hapo si ndio mwanzo wa balaa! Take control of your comment mkuu
 
Lowasa ana nguvu kubwa sana ndani ya ccm, hakuna atakayejaribu hata kuleta hiyo hoja mezani. Ngoja kesho tusikilizie
 
Ina maana makelele yoote yale kumbe size yao ni UV-CCM? Kwa nini waseifuate hao magamba yenyewe?
 
Natabiri
- Lowassa atang'oka. Kung'oka kwake kutaleta mpasuko mkubwa CHADEMA wengine wakitaka aalikwe CHADEMA na wengine wakiapa "over my dead body".
- Sitta atapewa karipio kali, na kwa kuwa ni ndumilakuwili ataufyata.
- Chenge is not as powerfull as those two, yeye ataondolewa kirahisi na haraka sana.
- Itapangwa mikakati mikali ya kuhakikisha SUGU anang'oka Mbeya kwa hali na mali, haswa baada ya kuitwa Rais wa Mbeya.

vp tena mkuu?
 
Katika wote wanaotajwa kuvuliwa gamba, sijamuona mtu ndani ya ccm mwenye uwezo wa kusimamia hoja ya kuvuliwa gamba gumu Lowasa, bado simuoni na sitarajii hilo kutokea chini ya uenyekiti wa Kikwete.
 
........naam, mimi nafananisha hawa ccm na minyoo tumboni, inanyonya damu, hukata utumbo, na hatimaye binadamu huyu hufa.. cha ajabu hapa, minyoo hii, huzikwa na binadamu kaburi moja, kwa maana ingine na yenyewe hufa, ujanja wake huishia hapo! hapo ndipo zoezi la magamba litakapowafikisha mahala ambapo minyoo humfikisha binadamu, kwa lugha rahisi hapa magamba na ant-magamba safari yao ni moja!

Naam, hapa ndipo nakubali, mbele giza, nyuma kaburi, ni suala la wakati
 
Lowassa atahamia NCCR, Sugu atarudi CCM, Slaa atagombana na Mbowe, Halima Mdee atahamia CCM, Lema atakuwa Mwenyekiti wa Chadema.

Haya uliyoyasema ni uhuru wa kutoa mawazo au ndiyo ndiyo ukomo wa kufikiri kwako?
 
Katika wote wanaotajwa kuvuliwa gamba, sijamuona mtu ndani ya ccm mwenye uwezo wa kusimamia hoja ya kuvuliwa gamba gumu Lowasa, bado simuoni na sitarajii hilo kutokea chini ya uenyekiti wa Kikwete.
....huu ndio ukweli, maana mi pia sioni wa kujitofautisha na Lowassa ndani ya ccm, ajitenge naye, ajiamini, amseme, ondoka, ondoka Lowassa, Lowassa atauliza kwa nini, watakosa jibu la maana,wote wanategemea fitina.,
 
unaweza ukaamua ufuatilie thread nyingine mpaka saa sita usiku utajikuta unaingia hasira tu ngoja ni kacheki LA LIGA MIE
OUTPUT YA LEO NI ILE ILE WAPENDWA MSITEGEMEE LOLOTE CCM NI SIKIO LA KUFA ..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom