Kimemsibu nini Prof. Lipumba?

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,787
30,080
Utangulizi

Prof. Ibrahim Lipumba ni msomi wa kutajika katika kundi kubwa lolote la wasomi popote pale duniani. Prof. Lipumba aliingia katika siasa mwaka wa 1995 si kwa mapenzi yake bali kwa kuchagizwa na marafiki zake kufuatia kifo cha ghafla cha Prof. Kighoma Malima.

Mwaka wa 1995 aligombea urais kwa tiketi ya CUF na kuanzia hapo aliweza kuijenga CUF kufikia kuwa chama chenye nguvu. Lakini kubwa katika historia ya vyama vya siasa Tanzania ni kule CUF Bara kutia nguvu kubwa katika siasa za visiwani na kuifanya CUF chama pekee katika vyama vya upinzani ukiondoa CCM, chenye wafuasi wengi Tanzania Visiwani na Tanzania Bara. Hakuna chama chochote Bara ambacho kimeweza kutimiza hili. Katika haya yote mchango wa Prof. Lipumba ulikuwa mkubwa sana usio na kifani. Kimetokea nini leo Prof. Lipumba aliyekuwa kipenzi cha wengi ghafla amepoteza yote aliyokuwa ananasibishwa nayo?

2016%2B-%2B1

Kushoto: Mohamed Omar Mkwawa, Juma Duni Haji na Prof. Lipumba Tanga 1995
Picha hii ilipigwa nyumbani kwa mwanamama shupavu wa CUF marehemu Mama
Ummie Biti Anzuani

2016%2B-%2B1

Mh Fatma Ferej Mwenyekiti wa Jumuia ya Wanawake
wa CUF Taifa (JUKE-CUF) akipiga kura

2016%2B-%2B1

Prof. Lipumba akiwa amezungkwa na walinzi kwenye Mkutano Mkuu wa CUF

Prof. Lipumba kutoka katika mkeka wa Mama Ummie Biti Anzuani
hadi kwenye ukumbi wa kifahari, walinzi na viti vilivyovunjika kwa
mapigano

2016%2B-%2B1

Mkutano Mkuu Maalum wa CUF ukirushwa
mubashara katika ''stream,'' Mwandishi alifuatilia
mkutano kutoka nyumbani

DSCN0722.JPG

Prof. Lipumba akihutubia katika ushindi wa Serikali za Mitaa Kata ya Mzimuni
Magomeni

4DCeDKu7Q3Y4xhk6C8pLAFlYgpSzaJq_Eo_3dvgOum8eJV7VXnbxXnXsY99YbPvim4bQ66MUVANyhM8zMJNSNh45yKAWpb2ygYLkFicztObvbR2VpkLPrRxGfdrCTLQB2wnDHo9TrYoiFD5zalRTddYgMP_0lCWhUHJtkqf4ZxEQxJPofF9CDBsNgIaizg0WWMF5FrZEC-ntN5teE-D-jtX2w3Eowrh2TNBVu80dnzeqImEppm4BofVYLzGNXFzETauVRETl4QD-F4LijD0vrpn-FESudsaGlX-AdAGSvMCls2LN5LcohgtoY3ZGeltQKfybwTliyOFFaWq3UKJMrMT4u00tHaz0QHQTGacA71UEgjd6tZhdGDBE4ghMqNhch2cQzPj40vxEb1f2E4GFoGo6M9VNkXh-IBwP2sAdtBcyoExisgnyCE8IyRCqOhSFwM1OF0QFr0uWTNeuuq79pE98T3oMATXTijgebEfZtVpPIH58EjWl5pnjD7b7fHMeuOeYNJpvace31twHzfJNUTcUWyeml5Mp5elRuqISP-7JEbJXwpB9UD0c81v6pGeeTTT5nT3pnw1Etqm0YotGQN9K0olqns60=w640-h480-no

Prof. Lipumba akiwa nyumbani kwa Mwandishi miezi michache kabla hajajiuzulu
uwenyekiti wa CUF

tXjP1VfSmNHcsYrOGSirt3qFZXBT0Zn1Q9VQG9Yx2AOuo43An4El2UmLoFVfk3QsXa11l1oonM2Qn4bVtqeETAK9Ra_EaWAsnyKkg-yML9CWRS-VAtDlNbuIx0lC9wXuZ0Y54cuVyVflimQ39-a-AaTvORYf_97kaej3Xwfbsc207r8PsoQ32XNPh0W3ZyFrHoTm-uwRbyGA4klVF0wZUjlhzb0Qx59kZrMCxrYqbcSJtK-2wj5MJoKvd1l0-roKUpENbxP6SsrRENSLI5rLehuKEpjOqTn2u0RPBFSrub8h4tcQDJR80bC6E-RJbcfq7VWLM5eVG4FAKod-MV6IaQ6v5GKPiJytz8zPorMJtKPHOUlZ087-L_5BbSQGobbrrnlkcNjrpDH6Y-GEPj3mxAyNvvqPXhoJwX-tQHVNsAoe9zptfAa9xfs1le0uArKoekRv7kRazYcNvxmtEGTr2y8CDTDH5yBjHUsEtcm60C868MT8ILpoMyQ2vJn44GsS8_wxcrG_HSX-ob3dx_p6pULtVrtPuxXK57RORBDZrM3CX-MPx6YofvV4Aa5-EB5s6rxR8DIFQ5r3d8IIaxurEMW8jYfZc-GG=w480-h320-no

Abbas Sykes na Prof. Lipumba kwenye walima wa harusi ya huyo
mtoto aliyemkumbatia katika picha hiyo hapo chini Faraj Mohamed
mwaka wa 2013

wVyzCrLoj8JLpExSLm8b6CCPqpUcb_6u0dECXWTeEWdYnnD_Mktxn50UJaRf9fZbx28vFeMVlKieP_bIFor3KQA2Yh0Rne2aYXAvJX201s6cizT3nJDNdL4QAiBwtmVq2iOdWpGAiOfgttRbt9SjhS819JBkqV0s_7OSRcLV76RcEUkxJ6H8tSO7j5tpda30Rc7aajWDyMrdHSO68rzma4p80daqGe0YifXgrNnkNEY3mraxPQlFve26S7Uhlj3-0Hc7SXC0-jc53oX5BOr0Rv-CBvnMSEvVKHUNLbtWttYtlcuhbrzivkhL_jMi26YM7lRck0qVwSLWO_7a53SQD4i4c3CsYQYSur0qZIEL1BgOJW5VXhBqe_zKP5UO1o8H2qb4r37ARear8Ra_k9YbnCmeiwZJTJNxa05J5NDTM2QsGODGx1pDQoF9Jd9e0hzJLRUMuwAN0ySE9iRoDqMF2h8XZGmVqCeo1rg97GSRGhsPQIH0LZ2Yul_wx7tQc_Q4TVuJ2uZwG7yoWe4GhSjEc-15DNSy7_nEOoJ74iDn6vFEihcqHuuFOoVmDBZljJqoS6prLpdi81YOqnHsRa6I_srcIqGZcEtH=w674-h657-no

Kulia: Prof. Lipumba, Faraj Mohamed, Tamim Faraj, na waliosimma ni Mwandishi na Juma Kilaghai ambae alikuja kuwa msaidizi wa Prof. Lipumba picha ilipigwa nyumbani kwa Mwandishi 1995
 
20151025_144404.jpg

Utangulizi

Prof. Ibrahim Lipumba ni msomi wa kutajika katika kundi kubwa lolote la wasomi popote pale duniani. Prof. Lipumba aliingia katika siasa mwaka wa 1995 si kwa mapenzi yake bali kwa kuchagizwa na marafiki zake kufuatia kifo cha ghafla cha Prof. Kighoma Malima. Mwaka wa 1995 aligombea urais kwa tiketi ya CUF na kuanzia hapo aliweza kuijenga CUF kufikia kuwa chama chenye nguvu. Lakini kubwa katika historia ya vyama vya siasa Tanzania ni kule CUF Bara kutia nguvu kubwa katika siasa za visiwani na kuifanya CUF chama pekee katika vyama vya upinzani ukiondoa CCM, chenye wafuasi wengi Tanzania Visiwani na Tanzania Bara. Hakuna chama chochote Bara ambacho kimeweza kutimiza hili. Katika haya yote mchango wa Prof. Lipumba ulikuwa mkubwa sana usio na kifani. Kimetokea nini leo Prof. Lipumba aliyekuwa kipenzi cha wengi ghafla amepoteza yote aliyokuwa ananasibishwa nayo?

2016%2B-%2B1

Kushoto: Mohamed Omar Mkwawa, Juma Duni Haji na Prof. Lipumba Tanga 1995
Picha hii ilipigwa nyumbani kwa mwanamama shupavu wa CUF marehemu Mama Ummie Biti Anzuani
2016%2B-%2B1

Add caption

2016%2B-%2B1

Prof. Lipumba akiwa amezungkwa na walinzi kwenye Mkutano Mkuu wa CUF

2016%2B-%2B1

Prof. Lipumba kutoka katika mkeka wa Mama Ummie Biti Anzuani hadi kwenye ukumbi wa
kifahari, walinzi na viti vilivyovunjika kwa mapigano
2016%2B-%2B1

Mkutano Mkuu Maalum wa CUF ukirushwa mubashara katika stream
Mwandishi alifuatilia mkutano kutoka nyumbani
DSCN0722.JPG

Prof. Lipumba akihutubia katika ushindi wa Serikali za Mitaa Kata ya Mzimuni Magomeni
4DCeDKu7Q3Y4xhk6C8pLAFlYgpSzaJq_Eo_3dvgOum8eJV7VXnbxXnXsY99YbPvim4bQ66MUVANyhM8zMJNSNh45yKAWpb2ygYLkFicztObvbR2VpkLPrRxGfdrCTLQB2wnDHo9TrYoiFD5zalRTddYgMP_0lCWhUHJtkqf4ZxEQxJPofF9CDBsNgIaizg0WWMF5FrZEC-ntN5teE-D-jtX2w3Eowrh2TNBVu80dnzeqImEppm4BofVYLzGNXFzETauVRETl4QD-F4LijD0vrpn-FESudsaGlX-AdAGSvMCls2LN5LcohgtoY3ZGeltQKfybwTliyOFFaWq3UKJMrMT4u00tHaz0QHQTGacA71UEgjd6tZhdGDBE4ghMqNhch2cQzPj40vxEb1f2E4GFoGo6M9VNkXh-IBwP2sAdtBcyoExisgnyCE8IyRCqOhSFwM1OF0QFr0uWTNeuuq79pE98T3oMATXTijgebEfZtVpPIH58EjWl5pnjD7b7fHMeuOeYNJpvace31twHzfJNUTcUWyeml5Mp5elRuqISP-7JEbJXwpB9UD0c81v6pGeeTTT5nT3pnw1Etqm0YotGQN9K0olqns60=w640-h480-no

Prof. Lipumba akiwa nyumbani kwa Mwandishi miezi michache kabla hajajiuzulu
uwenyekiti wa CUF
tXjP1VfSmNHcsYrOGSirt3qFZXBT0Zn1Q9VQG9Yx2AOuo43An4El2UmLoFVfk3QsXa11l1oonM2Qn4bVtqeETAK9Ra_EaWAsnyKkg-yML9CWRS-VAtDlNbuIx0lC9wXuZ0Y54cuVyVflimQ39-a-AaTvORYf_97kaej3Xwfbsc207r8PsoQ32XNPh0W3ZyFrHoTm-uwRbyGA4klVF0wZUjlhzb0Qx59kZrMCxrYqbcSJtK-2wj5MJoKvd1l0-roKUpENbxP6SsrRENSLI5rLehuKEpjOqTn2u0RPBFSrub8h4tcQDJR80bC6E-RJbcfq7VWLM5eVG4FAKod-MV6IaQ6v5GKPiJytz8zPorMJtKPHOUlZ087-L_5BbSQGobbrrnlkcNjrpDH6Y-GEPj3mxAyNvvqPXhoJwX-tQHVNsAoe9zptfAa9xfs1le0uArKoekRv7kRazYcNvxmtEGTr2y8CDTDH5yBjHUsEtcm60C868MT8ILpoMyQ2vJn44GsS8_wxcrG_HSX-ob3dx_p6pULtVrtPuxXK57RORBDZrM3CX-MPx6YofvV4Aa5-EB5s6rxR8DIFQ5r3d8IIaxurEMW8jYfZc-GG=w480-h320-no

Abbas Sykes na Prof. Lipumba kwenye walima wa harusi ya huyo mtoto aliyemkumbatia
katika picha hiyo hapo chini Faraj Mohamed mwaka wa 2013

wVyzCrLoj8JLpExSLm8b6CCPqpUcb_6u0dECXWTeEWdYnnD_Mktxn50UJaRf9fZbx28vFeMVlKieP_bIFor3KQA2Yh0Rne2aYXAvJX201s6cizT3nJDNdL4QAiBwtmVq2iOdWpGAiOfgttRbt9SjhS819JBkqV0s_7OSRcLV76RcEUkxJ6H8tSO7j5tpda30Rc7aajWDyMrdHSO68rzma4p80daqGe0YifXgrNnkNEY3mraxPQlFve26S7Uhlj3-0Hc7SXC0-jc53oX5BOr0Rv-CBvnMSEvVKHUNLbtWttYtlcuhbrzivkhL_jMi26YM7lRck0qVwSLWO_7a53SQD4i4c3CsYQYSur0qZIEL1BgOJW5VXhBqe_zKP5UO1o8H2qb4r37ARear8Ra_k9YbnCmeiwZJTJNxa05J5NDTM2QsGODGx1pDQoF9Jd9e0hzJLRUMuwAN0ySE9iRoDqMF2h8XZGmVqCeo1rg97GSRGhsPQIH0LZ2Yul_wx7tQc_Q4TVuJ2uZwG7yoWe4GhSjEc-15DNSy7_nEOoJ74iDn6vFEihcqHuuFOoVmDBZljJqoS6prLpdi81YOqnHsRa6I_srcIqGZcEtH=w674-h657-no

Kulia: Prof. Lipumba, Faraj Mohamed, Tamim Faraj, na waliosimma ni
Mwandishi na Juma Kilaghai ambae alikuja kuwa msaidizi wa Prof. Lipumba
Picha ilipigwa nyumbani kwa Mwandishi 1995
Ccm wamemtumia kuvuruga ukawa,na wakati ukawa umekua na mafanikio makubwa Kwa CUF Kwa kupata wabunge wengi bara
 
Katika mambo yote yasiyohitaji elimu duniani ni unafiki. Acha CCM walitumie kama Dr Slaa baadaye watalibwaga kusikojulikana. Umejiuzulu mwenyewe, baadaye useme nataka kurudi tena kwa wadhifa huohuo kama siyo kutumwa ni nini? Halafu vijana 300 awapate wapi? Hiyo ni CCM, ushindi wa asilimia 58 umeichanganya sana!
 
Nadhani aliingia katika hadaa ...walimhadaa watufulani fulani labda marafiki zake ..ajitoe ukawa..
Sasa bila ya kufikiri mustaqbal wake akafata ushauri wa marafiki zake ambao hawakua wafuasi wa cuf na akajiuzulu. Haku fikiria kuwa nini itakua hatma yake kisiasa ?
Jee wakati anachukua uamuzi ule alikua na plan B ya kisiasa ?
Jee alipanga kurudi baada ya kujiuzulu ?
Jee alipanga kujiunga na chama kingine ?
Jee alipanga kuanzisha chama kingine ?
Haya ni masuala hakuyafikiria alipochukua uamuzi wake.
Lililo wazi ni kwamba kama amejutia kujiuzulu au bado wale marafiki zake wanamshauri kuwa 'CUF' Ni mke wako halali unaweza kumrejea tu !!!! amefananisha cuf kama mke aliempa talaka moja hivyo unaweza kumrejea tu ...alisahau cuf ni tasisi...

Kitu chengine wakati anajiuzulu hawa 'wapenzi' hawakuandamana au kufanya jitihada ya kumzuia asijiuzulu.

Kosa kubwa alofanya ni timing ya kujiuzulu. Wakati ule ulikua muhimu sana kwa chama chake, bila ya ashaka angeweza ku negotiate good terms katika UKAWA na bila ya shaka wabunge wa cuf wangekua wengi zaidi. Lakini aliwaangusha wanachama wa cuf wenzake.. Sababu alizitoa ikiwa pamoja na msimamo wake kumkataa lowassa ni dhaifu sana hasa ukichukulia maanani yeye ndie muasisi wa ukawa pale alipowa ongoza wenzake kutoka nje ya bunge maalum la katiba.
Sababu zake ni tabu kuzimeza ni vigumu kumwelewa kwani kipindi kama kile conspirancy theories nyingi zitakuja...wengine watasema amenunuliwa, wengine watasema alitaka lazima awe mgombea.

lililo wazi ni kuwa Lipumba alijiuzulu. Na kitu kimoja muhimu na kizuri kwa cuf ni kule kumwacha kuwa mwanachama wa cuf . Hawakumfukuza bila ya shaka kuthamini mchango wake ndani ya chama.
Cuf baada ya kujiuzulu walichagua baraza la uongozi kukiongoza chama wakati wa mpito.
Sasa wameandaa uchaguzi wa nafasi zilizopo. Moja ni hii ya mwenye kiti na nyengine ya makamo mwenyekiti.
Hapa nakumbusha jambo moja nafasi hii ya Makamu mwenyekiti iliwachwa wazi na Mh Juma Duni ambaye alijiuzulu ili kutimiza masharti ya makubaliano kwa vyama vya Ukawa. Aliingia Chadema. Hivyo nafasi ile ikawa wazi na ndio moja inayo takiwa kujazwa.
Duni baada ya harakati za ukawa kumalizika ilibidi arudi chama chake Cuf.
Haikua automatic kuwa rudi na chukua kadi na umakamu wake. Hapana alifata katiba, aliomba uanachama na kukabidhiwa kadi mpya. Umakamu hakusema nipeni mwenyewe sasa nimerudi bali aliridhia kuwa mwanachama wa kawaida. Alichukua fomu ya kugombea lakini alijitoa ili kumpuisha bimani ambaye ni mwanaharakati zaidi...

Tukirudi kwa Lipumba, naye aliambiwa nafasi ya Uwenye kiti uko wazi lakini huwezi kurudishiwa ulijiuzulu. Hata hivyo uko free kuchukua fomu ya kugombea. Hakufanya hivyo alilazimisha arudishwe tu.
Sasa hapa suala la Maalim Mohamed Said ni gumu sisi kulijibu ya nini kimemsibu..hakuwa yule lipumba tunaye mfahamu alikua mwengine...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom