Kimbelembele cha CHADEMA kimewatokea puani

CCM ya watu wazima bwana.........

DSCN1517.JPG
 
Mhh,,,, mwandika mada ni mamluki.......... u can see by experience...!!! wewe umehadithiwa n before evaluating inf. ukaileta huku.................
 
MBUNGE wangu hakitokana na CDM basi nipo radhi kuama jimbo.Sera hizo hizo,viongozi wandamizi hao hao,udini huo huo,ukabili huo huo....bado mtu mwenye akili timamu anapigia kura CDM!!Dah....ndio maana tukianza na Arusha wenyewe wanasifika na BANGE,Mbeya walewale waki-ARUSHA kasoro tarehe tu,KIGOMA kwa zitto 2015 inachukua NCCR...
 
HALAFU WEWE EEETI NIKIONGOZI MKUBWA WA MAGAMBA MWEEEE! SIJUI CCM INAISHI VP!? b
 
Huyu ni nani? Kuna Cheo kama hiki Chadema? Mwanafunzi wa Chuo Kikuu uandishi wako unatia shaka... sembuse ukweli wa taarifa yenyewe

Huyu ni nani? Kuna Cheo kama hiki Chadema? Mwanafunzi wa Chuo Kikuu uandishi wako unatia shaka... sembuse ukweli wa taarifa yenyewe

Thats why I like JF,uzuri wake ni kuwa JF ni sawa na kwenda ROMA ukienda Roma ishi kama waroma,umeuliza swali zuri,nilijiuliza kisha kama MwanaJF nikatafuta fact kwa mujibu wa logics kupitia data za huyu jamaa humu ndani ya JF.Hakika kwa asilimia kubwa utafiti mdogo na wa haraka huyu ni mmoja wa vijana wenye fedha na madaraka, watoto wa mujini wanasema fedha mbwa haruki,lugha yake unaweza kujua kupitia jinsi anavyoaandika yani accent yake mfano kwa tabia ya matendo ya rangi na kabila yake ni waathirika wakubwa wa mu.Na yeye mara zote amekuwa muathirika wa tamshi la mu na veve panapostahiki kusema Mtoto yeye atasema Mutoto napanapostahiki wewe atasema veve.

Mfano huu "Kelele Zote ambazo Zitto,mnyika,pro-cdm mulizokuwa munapiga kuhusu mkonge nilijua wananchi wa Tanga wapo upande wenu kumbe kimbelembele chenu ndicho kilichokuwa kinawasumbua."

Nisingependa k
wenda kwa kasi na kutoa hitimisho kwa kuwa mimi ni muumini wa vitu vinavyopata nafasi yake kwa kusudio,na kwa sasa umiza kichwa kwanza na kwa uhakika ili mambo yasimuharibikie haraka atatoeka jamvini kwa kuwa movement ndio inaelekea huko huko na yeye ni moja ya self defence mechanism,hajui kuwa kila jambo na wakati wake,na huu ndio mwanzo kama ilivyokuwa la Posho watu wachache watakuwa wanawasha kinawaka kisha wananchi waaaa wanachukua.Ameshafaidika asitake mabaya zaidi.
 
View attachment 47979 View attachment 47980

Maelezo ya picha No 1.
Wananchi wa Korogwe wakiwa wamembeba Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe baada ya kumaliza kuwahutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Manundu, mkoani Tanga, jana. Picha na Edwin Mjwahuzi Laurent

Maelezo ya picha No 2.
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe akihutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Muheza mjini, mkoani Tanga juzi. Zitto yupo mkoani humo kwa ziara ya siku tano kufanya miikutano ya kuimarisha chama chake. Picha na Mtera Mwampamba
 
MBUNGE wangu hakitokana na CDM basi nipo radhi kuama jimbo.Sera hizo hizo,viongozi wandamizi hao hao,udini huo huo,ukabili huo huo....bado mtu mwenye akili timamu anapigia kura CDM!!Dah....ndio maana tukianza na Arusha wenyewe wanasifika na BANGE,Mbeya walewale waki-ARUSHA kasoro tarehe tu,KIGOMA kwa zitto 2015 inachukua NCCR...

Nahisi bado hujakomaa akili, hivyo si vizuri kupingana na wewe. Nisubiri utakapo pata ukomavu wa akili ndo tuendelee
na hoja yako.
 
Kuna mambo mengi ktk hili kwa mtu anayefikiri sawasawa
1! Inawezekana wanatanga wanajua sera ya cdm vzr hivyo wakaona bora kuendelea na shughuli nyingine
2!hata mbuyu ulianza km mchicha mtu asifikiri kuwa cdm kinakubalika sn na watz kwa ghafla tu ila ni matokeo ya kujenga misingi tangu zmn
3. Jussa wa cuf anaweza akawa na maoni mazuri sn kuhusu tanga.
Asbh njm .
 
watoto taifa la kesho,yawezekana wanajaribu kuwavuta watakapofikisha umri wa kupiga kura wawapigie.Hata mwendawazimu siku zote hushindwa kutofautisha kati ya mtoto na mtu mzima.Msishangae sana kwani sikio lakufa halisikii dawa
 
Back
Top Bottom