Kimara tembon,CDM bendera nusu mlingoti,CCM hawajashusha

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
kutokana na ajal ya meli juz,serikal ilitangaza cku 3 za maombolezo.bendera zliamliwa kupepea nusu mlingoti.magamba hawajashusha yakwao.CCM sio Tz?
 
Huu muungani ni wakinafiki mwanzo mwisho...anae utetea akiwa bungeni hawafanyi hivyo akiwa nje ya bunge au hafanyi kwa vitendo acha tuuvunjilie mbali..
 
kutokana na ajal ya meli juz,serikal ilitangaza cku 3 za maombolezo.bendera zliamliwa kupepea nusu mlingoti.magamba hawajashusha yakwao.CCM sio Tz?

Nimepita vingutinguti, pale mahakama ya mbuzi napo bendera ya CDM iko nusu mlingoti na cuf na tlp zipo zinapepea full!
 
Back
Top Bottom