Kima cha chini cha mshahara kuwa 180,000/=

180 ni sawa na kutekea maji tenga la nyanya ukiamini kwamba utafika nayo nyumbani,
mchele 2500/3000
unga 1000/1500
sukari 2500/2700
sabuni 1500/1900
umeme kama 20000
vat kama 8% ya salary,
kodi ya nyumba 30000,
e.t.c
FAMILIA YA WATU 5, HAKUNA KI2 HAPO
 
Mimi nimechanganyikiwa Zaidi kuhusu hii bajeti sijui nipange vipi hata niweze kuishi kwa mshahara wa Tshs 180,000/=

Salary (180,000/30 = 6,000)
Daladala To & fro Bunju to Posta = 1,800.00
Chai = 1,000.00
Chakula Mchana = 2,500.00
Nauli ya Mtoto kwenda Shule = 700.00 -
School Fees /=X? - -
Familiya 0 - -
Matibabu 0 - -
? - -
? - -
Total Balance - -

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Hakuna kitu kinachoniuma kama hili swala! Tukumbuke kuwa 180 siokwamba unaondokanayo yote,inapaswa kukatwa;
10% penshen=18000
11% kodi zingine kama VAT n.k=19800
jumla makato ni=37800
ukitoa kwa 180000 inabaki 142200 kama take home! Hapa ameongezewa kiwango cha kukatwa kodi tu na sio kuboreshewa maisha. Je,mtu huyu atatoka kweli! Mtukamauyu ukimpa madarakaka lazima achakachue vyakutosha!
 
Mbaya zaidi hao waheshimiwa waliotupigia magoti kutuomba kura kwa ahadi ya kuwa watasimamia maslahi yetu wanapata mishahara minono isiyokatwa kodi, na bado wanadai walipwe posho ya Tsh. 300.000 kwa siku!!!!! Huu ni uhuni, na hamna namna nyingine ya kuuita!!!
 
Back
Top Bottom