Kim Kardashian....wee acha tu!!

Tisha-TOTO

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
1,175
604
Jamani kwa kweli mimi mwenzenu.... hili toto hili laitwa Kim.......aaah!!!
 
Attachments

  • Kim.doc
    356 KB · Views: 337
she did a few jobs kama sikosei..kwani sie hamtuoni jamani! nyie kaka zetu sijui mkoje,kha!

Kijungu cha kim k ni orijino...and she had to undergo x ray to prove that...hata ukicheki dada zake si haba..familia imejaliwa ile...mademu wa kibongo wana vijungu vikubwa lakini irregular,inshort hawavutii...
 
i remember hiyo issue ya x-ray now. ila alifanya boob job? ww,umeona vijungu vingapi bana? hama mitaa unayohang, humu tu ukiona vijungu vya hawa madada wa jf utaomba poo!:mwaaah: ww vipi? haya kuleni kwa macho basi,eboo!:laser:

Basi usimalizie kusemaaaaa kwani ukimalizia moyo wangu unauchomaaaaaa. Kifupi mi nawafagilia sana warembo wetu wa Bongo ukiwemo wewe King'asti.
 
Back
Top Bottom