Kim Kardashian....kama humjui, huyu hapa basi.

kim-kardashian-bikini-miami-9.jpg
 
heheee AT- STICK SOME MORE

LEO SI IJUMAA......vitu laini laini
 
Acha urongo bana...Kimmy Cakes anatoka kwenye familia yenye hela. Baba yake, Robert Kardashian alikuwa mmoja wa mawakili wa OJ Simpson kwenye kesi yake ya mauaji na alikuwa ni milionea na aliwaachia hela nyingi wanawe kabla hajaaga dunia. Kimmy mwenye ana business ventures kibao...commercial endorsements, reality tv shows, n.k., of course bila sex tape yake na Ray J angeendelea kuwa mtoto wa super lawyer...but now she's her own woman...one woman conglomerate, if you will (or maybe kind of depending on how you look at things)

Kwa hiyo sidhani kama anahitaji hela za mwanaume yoyote.

Japo namsoma katika magazeti... kuwa na mahela haimaaninshi si gold digger... kumbuka some of the celebrities can do anything to keep themmsleves on the headlines!!!
 
<?xml:namespace prefix = v ns = "urn:schemas-microsoft-com:vml" /><v:shapetype id=_x0000_t75 stroked="f" filled="f" path="m@4@5l@4@11@9@11@9@5xe" o:preferrelative="t" o:spt="75" coordsize="21600,21600"> Katika vitu ambavyo ninanikera JF ni ugumu wa kuweka picha....Yaani ile picha ya Kim iliyopo kwenye screen saver yangu nimeshindwa kabisa kuiweka hapa kwenye hii thread! </v:shapetype>
 
Acha urongo bana...Kimmy Cakes anatoka kwenye familia yenye hela. Baba yake, Robert Kardashian alikuwa mmoja wa mawakili wa OJ Simpson kwenye kesi yake ya mauaji na alikuwa ni milionea na aliwaachia hela nyingi wanawe kabla hajaaga dunia. Kimmy mwenye ana business ventures kibao...commercial endorsements, reality tv shows, n.k., of course bila sex tape yake na Ray J angeendelea kuwa mtoto wa super lawyer...but now she's her own woman...one woman conglomerate, if you will (or maybe kind of depending on how you look at things)

Kwa hiyo sidhani kama anahitaji hela za mwanaume yoyote.

hiyo sex tape yake inapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom