Kilio cha Nape kisipuuzwe

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesikika akisema kwamba kuna watu wanataka kutoa roho/kumuua. Kimsingi mtu mzima hawezi kutoa malalamiko hayo hadharani kama hakuna dalili au taarifa za kuumwa sikio kuhusu suala hilo. Ni vyema Jeshi la Polisi wakafanya kufuatilia taarifa hizo.

Kuuliwa ukiwa CCM ni ugonjwa wa kujitakia. Nape hakuna wa kunuonea huruma kwakuwa anachokifanya hakiju na halifai taifa hili. Akiondoka tutapunguza mbao feki za matangazo ya KUZUGIA wananchi.
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesikika akisema kwamba kuna watu wanataka kutoa roho/kumuua. Kimsingi mtu mzima hawezi kutoa malalamiko hayo hadharani kama hakuna dalili au taarifa za kuumwa sikio kuhusu suala hilo. Ni vyema Jeshi la Polisi wakafanya kufuatilia taarifa hizo.

si mpaka apeleke taarifa polisi?
 
INAWEZEKANA JAMAA ni mmeo, kubali kwani naelewa si mapenzi yako ni mungu kakuumba hivyo
Asifuye mvua imemnyea kama alikuwa mumeo akakumwaga? usifikiri kila mtu ni wa design yako toa hoja jamvini si kutukana.
 
Sina shida ya waume
Nimeshakuambia kama wewe ni shoga just sema maana naelewa ni maumbile na si kwamba umejiendekeza
 
Umetumwa?
hajatumwa ila kama ni kweli then this has to be taken care of, Nape is our fellow citizen na tusikubali huu upuuzi.... leo kwake kesho kwako

we need to fight this onekama nape

anatishiwa, unadhani akina max na wengine wa JF wana hali gani???

we need to stand up against this one
 
INAWEZEKANA JAMAA ni mmeo, kubali kwani naelewa si mapenzi yako ni mungu kakuumba hivyo
Halafu Nape inaonekana kanogewa na huu mchezo... Aliwatishia wana Mwanza kuwashikisha ukuta, nao wakamwambia watakishikisha ukuta chama chake hapo 2015. Sasa inaonekana anamla sana huyu Kamura, hadi anakuja na utetezi uliokaa kifamilia zaidi namna hii???
 
duh tena washindwe wanaomtakia nape mabaya.apewe ulinzi wa kutosha hadi mvunguni mwa kitanda
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesikika akisema kwamba kuna watu wanataka kutoa roho/kumuua. Kimsingi mtu mzima hawezi kutoa malalamiko hayo hadharani kama hakuna dalili au taarifa za kuumwa sikio kuhusu suala hilo. Ni vyema Jeshi la Polisi wakafanya kufuatilia taarifa hizo.
Acha afe, utetezi wake wa CCM ni uhaini kwa nchi kwa hiyo mjinga mmoja akipungua idadi si jambo baya. Itafaa wamteke halafu wamtese kwanza.
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesikika akisema kwamba kuna watu wanataka kutoa roho/kumuua. Kimsingi mtu mzima hawezi kutoa malalamiko hayo hadharani kama hakuna dalili au taarifa za kuumwa sikio kuhusu suala hilo. Ni vyema Jeshi la Polisi wakafanya kufuatilia taarifa hizo.

Yeye asiache kushambulia magamba makongwe, safari ya India inakaribia.
 
Kuna mwanaume katokea arabuni anatafuta watu kama wewe akawape kazi kamwone pale DANFRANCE HOTEL malipo 80 elfu kwa saa

Kwa sababu tayari umeshafanya hiyo kazi, endelea nayo na ukimaliza ndo uende Jahazi. Watakusubiri!
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesikika akisema kwamba kuna watu wanataka kutoa roho/kumuua. Kimsingi mtu mzima hawezi kutoa malalamiko hayo hadharani kama hakuna dalili au taarifa za kuumwa sikio kuhusu suala hilo. Ni vyema Jeshi la Polisi wakafanya kufuatilia taarifa hizo.
Huyo ni vuvuzela tu, anauawa na nani? Watu wa maana kama Dr. Mwakyembe wanatoa taarifa na mipango inayofanywa ili kuuawa na mafisadi wakishirikiana na vyombo vya dola na hakuna hatua zinazochukuliwa, huyo Nape akiuawa kwani nchi itapata hasara gani?
 
mbona wameuwawa watu kibao huko Nyamongo Nape hajasikika

Lowassa akishika nchi kwa bahati mbaya 2015 namshauri amchune NAPE ngozi hadharani

huyo lowasa ataingia madarakan kwa hyo kura yako 1 au?
 
Back
Top Bottom