kilimo kwanza!!!

Bob K

Member
May 26, 2009
46
2
ukimsikiliza mh,rais wetu anavyosisistiza kuhusu kilimo kuanzia kwenye pesa za epa mpaka kwenye bajeti nabaki najiuliza kitu kimoja pesa hizi mkulima wa kawaida atazikopa vipi hana dhamana ya kuweka benki. kwanini hizi pesa za epa na nyinginezo zilizotengwa kwenye bajeti zingeenda kuyaleta maji ya ziwa victoria yaliyokoma shinyanga hata mpaka dodoma kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji halafu wao wakulima watengeneze ushirika wao kama kule chekereni na mabogini moshi kilimanjaro kwa kukopa benki na kutengeneza miundo mbinu ya umwagiliaji,nadhani benki haita mmyima mkopo mkulima wa aina hii kama tayari wana hakika yuko katika sehemu ya maji ya uhakika yaani akilima atavuna kuliko pesa kupeleka benki kwa kutegemea mvua za kudra!! ya mwenyezi mungu sijui kama tutalima au ndo watakopa wenye nguvu wale wale na mtanzania wa kawaida atazisikia bombani!! hizo pesa za mikopo ya kilimo hata kwa masharti hayo nafuu kama inavyosemwa.naomba mchango wenu kwani asilimia karibu themanini ya watanzania ni wakulima duni
 
Back
Top Bottom