Wadau,
Napenda kufanya kilimo cha vitunguu ila sina data za kutosha kuhusu hili swala.
Nimesikia kuna sehemu inaitwa mang`ola wanalima ila sijawahi fika,sehemu nyingine ni Iringa ila sasa nashindwa kujua ni wapi kati ya sehemu hizo mbili nimzuri na cheap.
Then: ingependa kujua mashamba yanakodishwa shiling ngapi? Mbegu kwa heka ni sh ngapi? Gharama ya kulima pamoja na kuweka matuta? Kupanda? Mtu wakulinda shamba ni sh ngapi?na vitu vingine ambavyo sivijuwi.
Wadau haya yote yametokana na hali mbaya ya wategemeawo mwisho wa mwezi.naombeni mawazo yenu wadau.
Naomba kuwakilisha hoja.
Kaka Nafurahi sana kusikia kuwa ni mmoja wa wakulima wa vitunguu,ningependa sana msaada wako coz hata mimi nataka kuingia kwenye hichi kilimo.plz naomba usaada wako kamanda.Nashukuru sana Kasopa kwa input.point taken
Wadau naomba msaada kwa anaejua soko zuri kwa ajili ya vitunguu,middlemen wanatutesa sana wakulima kwa bei ndogo na rumbesa.Msaada please great thinkers.
Kama walichosema wanamaanisha nadhani ntakuchek ili tuweze export at large scale. Mana nilikubaliana nao kupanda heka 10 kila mwezi ili kuwa na constant supply, as kwa sasa nina heka 80 ziko in irrigation scheme.Beethoven. Mie pia nimeanza kulima vitunguu na nategemea kutoa awamu ya kwanza tar 5 July hivi. Nilitembelewa na wazungu flani shambani kwangu wakaniambia from August watanipa mtaalamu wao ambapo atakuwa ananielekeza namna bora ya kulima then nitapata soko la ku-export.
Mkuu Man city tunaweza kuwasiliana? maana hilo zao la kitunguu ni moja kati ya mazao niliyosomea miaka 3 pale SUA as Horticulturist na sasa nipo ndani ya ajira ya serikali kwenye mambo hayohayo. naitaji sana kulima hilo zao shida kubwa ni market na sehemu ya kulimia. kama inawezekana tuwasiliane kwa no 0758303708
mkuu najaribu vilevile,ulitaka msaada gani?maana shida yangu kubwa ni market,knye production naendelea kuwa mzoefu ila naweza kukupa abc zake.Kaka Nafurahi sana kusikia kuwa ni mmoja wa wakulima wa vitunguu,ningependa sana msaada wako coz hata mimi nataka kuingia kwenye hichi kilimo.plz naomba usaada wako kamanda.
mi pia nina malengo ya kilimo hiki nitawacheck tuone jinsi ya kuunganisha nguvu.ahsantanteni wakuu.Mkuu Man city tunaweza kuwasiliana? maana hilo zao la kitunguu ni moja kati ya mazao niliyosomea miaka 3 pale SUA as Horticulturist na sasa nipo ndani ya ajira ya serikali kwenye mambo hayohayo. naitaji sana kulima hilo zao shida kubwa ni market na sehemu ya kulimia. kama inawezekana tuwasiliane kwa no 0758303708
jamani vitungu swaumu,nenda arusha magugu,iringa mbuyuni,arusha maeneo ya dareda,kilimanjaro hedaru kwa wapare utapata sana.we ulizia au uende mwenyewe.naomba mtu anayejua eneo zuri kwa kilimo cha vitunguu swaumu anifahamishe