Kilimo cha tikiti maji

tulu

Senior Member
Aug 30, 2016
197
145
Naomba kujua gharama ya kilimo cha tikiti maji na maeneo mazuri inapolimwa
 
Mbona ninyi hamjibu au mnataka stori za mapenzi tu
 
Mbona ninyi hamjibu au mnataka stori za mapenzi tu
Vyema ungeeleza zaidi uko mkoa gani,wilaya nk na pia umejipangaje,una eneo? Hii itarahisisha tathmini ya gharama kwa mjibu swali
 
Vyema ungeeleza zaidi uko mkoa gani,wilaya nk na pia umejipangaje,una eneo? Hii itarahisisha tathmini ya gharama kwa mjibu swali
Mi niko dar na ndo nmejipanga kuanza na Tikiti sasa naomba Kuja maeneo na majira ya kilimo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom