Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimo cha mpunga,nimeipenda hii!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jaguar, Aug 19, 2012.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Je,unasumbuliwa na ndege waharibifu kwenye shamba lako la mpunga?.Usipate tabu,fanya kama ifuatavyo;jitahidi kuwakamata japo ndege kumi waharibifu~>Wakate miguu yao kisha ikaange mpaka ibaki majivu~>Yale majivu changanya na maji kisha nenda kayapake hayo majivu kona zote za shamba lako. Baada ya kufanya hivyo kuwa huru kufanya shughuli zako kwani ndege waharibifu wote watafanya shamba lako kama sehemu ya kupumzikia tu,njaa ikiwauma watakwenda mashamba ya jirani zako.SOURCE:Mzee mmoja mkulima wa mpunga kijiji cha Mvumi,wilayani Kilosa.
   
 2. Wamisosi

  Wamisosi Senior Member

  #2
  Aug 19, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 8
  Mzee mwanga huyo
   
 3. dudupori

  dudupori JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 815
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 28
  Tutaijaribu hiyo teknolojia mkuu!
   
 4. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Go n try it for us dudupori.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 83
  ukitaka demu wako asimegwe?
   
 6. Myakubanga

  Myakubanga JF Bronze Member

  #6
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,692
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 48
  Du!!!!
   
 7. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 5,862
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 48
  huyo mzee atakuwa anatumia nguvu za giza maana nimelima sana mpunga sikuwahi kusikia hii.
   
 8. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Never give up!
   
 9. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 18
  Nadhan itabid utafute nyeti za wanaume kama watano hivi wanaommega then kata dushelele zao zikaange mpaka ziwe majivu then mpake mwili mzima....no one will go there.
   
 10. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Ahaah!very simple,umewahi kuona jani kavu la mhindi likipepea angani na kimbunga?basi unalifukuzia lile jani mpaka unahakikisha umelidaka kabla halijagusa ardhi.Baada ya hapo kalichome moto,chukua majivu yake kisha changanya na unga wa tangawizi.Paka huo unga kwenye kichwa ya mtulinga wako,then mwingilie your dearest one,she will never cheat on you!
   
 11. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Yeeuuw!
   
 12. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 5,593
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 48
  Mlete kwangu hatamegwa tena
   
 13. equivocal

  equivocal Senior Member

  #13
  Aug 21, 2012
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 8
  naomba u2weke sawa, ukikaanga ki2 unapatapata mjivu kweliiiiiii au kuchomaaaaa
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 35,168
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 113
  Mweee.....hizi teknolojia za asili mbona ngumu namna hii.
   

Share This Page