Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,077
Dah! Huu mti kweli noma, hadi Limbwata! Kweli ni bonge la biasharaPoa mkuu,nitafanya hivyo. Tatizo hapa ninapoishi mlonge unatumika kama limbwata.
Dah! Huu mti kweli noma, hadi Limbwata! Kweli ni bonge la biasharaPoa mkuu,nitafanya hivyo. Tatizo hapa ninapoishi mlonge unatumika kama limbwata.
ni kweli mkuu hii ni tiba sana kuanzia mizizi hadi maua
nimekuwa nikitumia majani yake kama tiba ya malaria tangu mwaka 2007 malaria kwangu hakuna
mama yangu amepanda kule kwetu mwanza sasa la kufanya ntawasiliana nae anipe detail alifanyaje kuipanda then ntakupm
Dah! Huu mti kweli noma, hadi Limbwata! Kweli ni bonge la biashara
Hi kitu ni hatari sana mana akina dada na akina mama wanaitumia sana kuwekea limbwata na ukilatu haubanduki kwa huyo mrembo.
kama upo Dar nje ya Imalaseko kuna mtu anauza mbegu nimenunua na nimeotesha zinaota kirahisi sana.nitapataje mlonge nami nioteshe?
kama upo Dar nje ya Imalaseko kuna mtu anauza mbegu nimenunua na nimeotesha zinaota kirahisi sana.
Mlonge ni dawa pia chakula haya ni manufaa yake kutoka WebMED: used in human and animal food as source of high vitamin A, C. Potassium, Calcium and Protein.
Medicinal use: arthritis, rheumatism, diarrhea, diabetes, boost immunity, as a sex drive (aphrodisiac), prevention of pregnancy, breast milk improvement, direct application to skin in abscesses (sp), dandruff, allergies.
Seeds used for producing oil for soaps, perfume/ lubricants/biodiesel
matumizi ni mengi na mti huu unakua haraka na majani mengi sema haujapata promotion nzuri tu.
njia nyingine ni kutumia cuttings Kama mihogoAsante mama joe, nitacheck na imalaseko.