Kilimo cha milonge

Dick

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
477
8
Poleni na majukumu ya ujenzi wa nchi ndugu wana-jf.
Naomba msaada wa utaalamu wa kilimo cha milonge. Nasikia ni tiba ya mambo mengi sna. Natanguliza shukrani
 
ni kweli mkuu hii ni tiba sana kuanzia mizizi hadi maua

nimekuwa nikitumia majani yake kama tiba ya malaria tangu mwaka 2007 malaria kwangu hakuna
mama yangu amepanda kule kwetu mwanza sasa la kufanya ntawasiliana nae anipe detail alifanyaje kuipanda then ntakupm
 
Pls nikumbusheni Milonge ni zao gani halipo kabisa kwenye ramani ya kichwa changu
 
Ahsante bwn Edson kwa concen yako kwangu. Naomba umpe maelezo zaidi ms Firstlady1 ili apate a,b,c za zao hilo.
 
Pls nikumbusheni Milonge ni zao gani halipo kabisa kwenye ramani ya kichwa changu
Pili mlonge ni mboga nzuri sana,mlonge unafaa sana kwa mifugo. Kupanda mlonge ni rahisi sana,ni kama mhogo yaani cittings au mbegu. Mlonge haujui jua wala mvua,ni rafiki wa mazingira.
 
je soko la mlonge likoje?

Hakuna mipango ya soko iliyo wazi,Wachina ndio wananunua kwa ajili ya dawa. Kule Mzenga walishawishiwa kupanda kwa wingi,baadae wanunuzi hawakwenda,si unajua mambo ya serikali yetu. Lakini tatizo lingine scale ya kilimo chenyewe ni ndogo,mnunuzi wa nguvu ni kazi sana kumpata,kwa sababu utakuta mtu ana milonge kumi,naye anatafuta mteja.
 
hii ni bonge la dawa wakuu na dawa nyingine zote za asili tuzitumie wakuu kuliko kutumia hizi dawa za hawa Freemasons pale muhimbili.(Kubali au kataa lakini mimi sidanganyiki na kile kitengo)
 
Umejaribu kuiotesha? Wote tukiwa wavunaji,itafika siku milonge itaisha kabisha. Nimeanza kuiotesha kwa ajili ya mboga na dawa/lishe kwa mifugo.
 
Hii ya kutumia dawa asili ni safi sana...hizi mbegu za milonge naweza kuzipata wapi. Mimi niko hapa mbezi kwa msuguri, dSM nataka nijaaribu kuziotesha kwenye kishamba changu hapa!
 
mronge siyo Dawa,tuutumie kama kitu cha kawaida kama majani ya chai au mboga ya mchicha.kwani faida zake zinakuja kwa kuutumia kila siku,mizizi yake ina kemikali zinazoweza kuathiri mishipa ya fahamu, (nervous system ) jihadhari na mizizi. pia nilishasoma kuwa ukimwagilia mmea na maji ya mronge mmea unastawi vizuri sana,hiyo research imefanywa na scientist wa latin America.nikiipata nitaiweka hapa
some of the links i have collected over the year
Moringa Articles
How To Eat Moringa Leaves
How To Eat Moringa Leaves
Moringa Articles

Hunger, Disease and the Moringa Tree of Life - Associated Content from Yahoo! - associatedcontent.com

Moringa for Malnutrition

MORINGA MAMA’S STORY « Moringa Mamma's Memoirs

http://www.moringanews.org/doc/GB/Papers/Armelle_text_GB.pdf
 
ni kweli mkuu hii ni tiba sana kuanzia mizizi hadi maua

nimekuwa nikitumia majani yake kama tiba ya malaria tangu mwaka 2007 malaria kwangu hakuna
mama yangu amepanda kule kwetu mwanza sasa la kufanya ntawasiliana nae anipe detail alifanyaje kuipanda then ntakupm

Mkuu hapo kwenye Red, nielimishe . unatumia mronge kama kinga ya mbu au inatumikaje
 
Umejaribu kuiotesha? Wote tukiwa wavunaji,itafika siku milonge itaisha kabisha. Nimeanza kuiotesha kwa ajili ya mboga na dawa/lishe kwa mifugo.
Hapana mkuu nipo ughaibuni na nakaa ghorofani ila huwa naagizia na naletewa mpaka huku niliko.
 
mronge siyo Dawa,tuutumie kama kitu cha kawaida kama majani ya chai au mboga ya mchicha.kwani faida zake zinakuja kwa kuutumia kila siku,mizizi yake ina kemikali zinazoweza kuathiri mishipa ya fahamu, (nervous system ) jihadhari na mizizi. pia nilishasoma kuwa ukimwagilia mmea na maji ya mronge mmea unastawi vizuri sana,hiyo research imefanywa na scientist wa latin America.nikiipata nitaiweka hapa
some of the links i have collected over the year
Moringa Articles
How To Eat Moringa Leaves
How To Eat Moringa Leaves
Moringa Articles

Hunger, Disease and the Moringa Tree of Life - Associated Content from Yahoo! - associatedcontent.com

Moringa for Malnutrition

MORINGA MAMA’S STORY « Moringa Mamma's Memoirs

http://www.moringanews.org/doc/GB/Papers/Armelle_text_GB.pdf

Mkuu kuna tofauti kati ya mulonge na moringa tree.
 
Kuna kampuni inayofanya kazi ya kupromote mlonge iko pamba house gorafa ya pili chumba namba 205 ukifika hapo watakupa maelekezo ya kulima pamoja na ununuzi wa mlonge
 
Back
Top Bottom