TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,511
- 11,271
Najaribu kutoa wazo kwa wana JF, ikiwezekana tuunde kikundi chetu, tukamate hio heka 50 tupige kazi.
Naunga mkono wazo hili, mkuu tutafutane.
Najaribu kutoa wazo kwa wana JF, ikiwezekana tuunde kikundi chetu, tukamate hio heka 50 tupige kazi.
Mkuu Malila upo? Za masiku.Tuma pm kwa Mzuzu mwenyewe ili akupe vyote.
.. Red, Mkuu Malila hao wadau wa Group ni wa humu JF?, kwamba mfanye usajili wa members zaidi tuingie humo tufanye pamoja, naona napata response nzuri toka kwa TANMO na Zamazamani hapo juu na wengine endapo wakijitokezaMkuu nilikuahidi kukuona october, Nikifika desemba nitakuwa na kibarua kikali cha ile kazi yetu. Na imepanuka zaidi sasa. Lakini ikibidi hata xmass tuonane mkuu, kuna wadau wa group yetu wanataka kulima mhogo.
Mkuu Malila upo? Za masiku. .
Nafikiri hiyo ni good idea. Lets do something,kama upo tayari ni pm ile tuelekezane haraka iwezekanavyo
Wakuu wangu, Zamazamani, Kivumah na malila, hata mimi nataka sana kupanda hili gali, msiniache.
Pamoja tunaweza.
Ni kweli Malila ila naona kama muda hauko upande wetu ukizingatia deadline ya Mzuzu ilivyo karibu!Tukimaanisha tunaweza kabisa kufika juu ya mlima Kilimanjaro.
I hope hiyo ni Project endelevu mkuu sio lazima kuanza sasa hivi kikundi kikianzishwa sasahivi na kufanya registration next time kinaweza kuingia kwenye hiyo project.Ni kweli Malila ila naona kama muda hauko upande wetu ukizingatia deadline ya Mzuzu ilivyo karibu!
Hamna shaka mkuu tutaonana tu ukija na kupata nafasi.Mkuu nilikuahidi kukuona october, Nikifika desemba nitakuwa na kibarua kikali cha ile kazi yetu. Na imepanuka zaidi sasa. Lakini ikibidi hata xmass tuonane mkuu, kuna wadau wa group yetu wanataka kulima mhogo.
Mkuu Mzuzu kama nimekuelewa vizuri inabidi uwe walau na kampuni ambayo ipo registered na siyo mkulima anayelima tu hivihivi bila kuwa registered? Mkulima mdogo au wakati ambaye hana registered company lakini ana uwezo wa kuendesha walau hizo ekari 50 ana nafasi gani? costs za kuanzia kusafisha shamba,kuandaa shamba,kulima,kupalilia hadi kuvuna kwa ekari moja inaweza kuwa kiasi gani kwa makadirio? Tafadhali fafanua
Ni kweli Malila ila naona kama muda hauko upande wetu ukizingatia deadline ya Mzuzu ilivyo karibu!
I hope hiyo ni Project endelevu mkuu sio lazima kuanza sasa hivi kikundi kikianzishwa sasahivi na kufanya registration next time kinaweza kuingia kwenye hiyo project
Sasa sisi tuliona kampuni ambazo sio registered inakuwaje??na tunauwezo wa kupiga ata hekali 100..tuna documents za kuonyesha tulivyofanya biashara ya kilimo kikubwa tu pia vipi tunafuzu hapo tujitose.
Yes tunahitaji tani 18,000 kwa mwaka wa kwanza ambazo ni kama tani 60 hivi kwa sikuhawa jamaa wanahitaji mhogo mwingi, sisi hata kama tutaingia kwa kuchelewa,sidhani kama kuna tatizo,cha msingi tuwe na uwezo wa kupeleka mhogo bora kabisa pale kiwandani kwao.