Call me for free 0765252600 agric consultant
Nina matikiti maji ( sugar baby)
Acre moja na kidogo
Natafuta masoko nipo nzega
Mwenye taarifa za masoko pls
Yameshakomaa
Please add me too! My contact is 0715085307. Be blessed!Add my young boy eager with water Mellon please no is 0765252600
mbegu nzur ni za hybrid.
1. Pata negra inazaa vizur.
2. Sentinel mbegu ya rang ya pundamilia 2nda lenye umbo la yai
3. Sukari f1nayo nikama s3ntinel
Bei 1.pata negra 1000 seeds sh. 42,000
Sentinel 1000 seeds sh 50,000
Sukari F1 25g -17.000
50g-30.000
100g -55.000
500g- 220.000
Kwa ujumla udongo wa tifutifu wenye rutuba na usiotuamisha maji hufaa sana kwa tikiti. Tikikiti halipendi udongo mzito kama wa mfinyanzi na pia huchelewa kukomaa zaidi ya udongo hafifu. Mmea huweza kustawi vizuri kama maji yatakuwa yanapatikana ndani ya meta moja toka juu. Udongo ukiwa na acid hafifu au kati na kati hupendelewa zaidi. Shamba lilimwe vizuri. Mbolea ya samadi au mbolea vunde inatakiwa kuwekwa kipindi hishi ili ichanganyike vizuri na udongo. Kutegemea na aina ya udongo kwenye ekari moja tani kuanzia 10 za samadi huhitajika. Kwa ujumla mbegu huoteshwa moja kwa moja shambani japo pia unaweza kusia mbegu kitaluni halafu ukahamisha.
Kwenye shimo moja otesha mbegu 2 au 3 baadaye utang'oa na kubakisha mche mmoja. Umbali kati ya ya mche na mche ni sentimeta 60 hadi 90 kutegemea na mbegu kati ya mistari ni sentimeta 100 hadi 180. neggirl
Jamani habarini za wkend.., naomba kujua mche wa tikiti maji unaweza kuvunwa mara ngapi matunda yake?
Kwa mfano embe zinavunwa kila mwaka, ndizi unavuna mara moja tu na mche unakwisha kazi yake. Vipi kwa matikiti maji, unavunwa mara ngapi na kwa kipindi/interval gani?
Nataka kulima, yanalipa sana nisaidieni tafadhali.
Nipm sasa hivi nikupe namba ya mtu Anatolia Hiyo na kufanikiwa ukiongea naye kwa simu atajibu maswali yako tote,siwez weka hapa namba yake bila ruksa Kama uko serious ni pm nikupe namba harafu uje kuleta majibu umu
Asante sana mtaalam. Kupitia uzi huu nimeona majina tofauti ya mbegu (aina za matikiti) mfano sukari f1, sentinel n. K.
Je ni mbegu ipi yenye faida kulingana na masoko tuliyonayo?
Plz lets communicate brow. Nahitaji kujifunza toka kwako. Nitakupm contacts zangu plzJamani habarini za wkend.., naomba kujua mche wa tikiti maji unaweza kuvunwa mara ngapi matunda yake?