mkulima2010
Member
- Jul 8, 2015
- 39
- 40
Nawakaribisha wale wote wanaopenda kufahamu kuhusu, kilimo cha Alizeti, Mbaazi, Maharage, Mtama na Mahindi.
Naomba tuwasiliane kupitia JamiiForums.
Naomba tuwasiliane kupitia JamiiForums.
Thanks sana ndugu Mkulima2010, hebu nipe data kuhusu Kilimo cha Alizeti mfano kwa Ekari moja naweza kutumia mbegu kiasi gani? Na mavuno yanakuwaje pia changamoto za kilimo cha Alizeti na masoko yake, nataka nikalime maeneo ya Mwangeza-Singida hapo mwakani
Mtama mweupe unalimwa kwa wingi maeneo ya dodoma na unastawi kwenye mazingira yote ya ukame na mvua nyingi , soko lake ni nzuri sana kwa hapa dar ni hot cakeMaswali kama haya kwa mtama pia hasa mweupe.
Msimu huu maeneo mengi mvua elisumbua na mavuno ya Alizeti yamekuwa chini kidogo bei ya gunia la Alizeti ni sh30,000/= hadi 35000/= gunia moja ni wastani wa kg 50-60 natoa lita 25 ya mafuta kwa gunia plus mashudu yanakuwa faidaNatafuta Sunflower Cake hivi hii naweza kupata kwa bei ya chini kabisa Tshs ngapi kwa Kilo
unaweza kulima alizeti ukachanganya na mahindi na mbazi gharama za kulima ekari moja kwa maeneo ninayofahamu mimi dodoma ni kukodi shamba , mbegu, palilizi , kusimamia na gharama za kuvuna ni kati ya 150,000/= hadi 230,000/= mavuno kwa ekari mahindi 7 hadi 10 gunia, alizeti gunia 5 hadi 8 , mbazi gunia 1 hadi 2. Mahindi bei yake kwa gunia shambani 30,000/= ukiwa hadi desemba unauza 50,000/= hadi 60,000/= alizeti gunia 35000/= ukiwa hadi desemba ni 60,000/ kwa gunia mbazi gunia ni 70,000/= hapo ukivuna tu kujuwa jumlisha mapato toa gharama = faida.thanks sana ndugu mkulima2010, hebu nipe data kuhusu kilimo cha alizeti mfano kwa ekari moja naweza kutumia mbegu kiasi gani? Na mavuno yanakuwaje pia changamoto za kilimo cha alizeti na masoko yake, nataka nikalime maeneo ya mwangeza-singida hapo mwakani
Shida yangu ni hayo mashudu tu, bei yake ipo vipi kwa gunia na gunia ni kgs ngapiMsimu huu maeneo mengi mvua elisumbua na mavuno ya Alizeti yamekuwa chini kidogo bei ya gunia la Alizeti ni sh30,000/= hadi 35000/= gunia moja ni wastani wa kg 50-60 natoa lita 25 ya mafuta kwa gunia plus mashudu yanakuwa faida
Mtama mweupe unalimwa kwa wingi maeneo ya dodoma na unastawi kwenye mazingira yote ya ukame na mvua nyingi , soko lake ni nzuri sana kwa hapa dar ni hot cake
unaweza kulima alizeti ukachanganya na mahindi na mbazi gharama za kulima ekari moja kwa maeneo ninayofahamu mimi dodoma ni kukodi shamba , mbegu, palilizi , kusimamia na gharama za kuvuna ni kati ya 150,000/= hadi 230,000/= mavuno kwa ekari mahindi 7 hadi 10 gunia, alizeti gunia 5 hadi 8 , mbazi gunia 1 hadi 2. Mahindi bei yake kwa gunia shambani 30,000/= ukiwa hadi desemba unauza 50,000/= hadi 60,000/= alizeti gunia 35000/= ukiwa hadi desemba ni 60,000/ kwa gunia mbazi gunia ni 70,000/= hapo ukivuna tu kujuwa jumlisha mapato toa gharama = faida.
Kwa ushauri huu napata wasiwasi
Mimi nataka mafuta yaliyokamuliwa ni yachuje na machine ya kisasa nipaki then niuze
Mkuu kuwa makini sio maeneo yote ya kiteto yanafaa kwa kilimo maeneo mazuri ni Dosi dosi , engusero, Nchinila, Mbiri, kazi ngumu , weza mtima, ramba la mbogo , kirashi, ndirigishi, lugine , magungu, Songambele, ngipa, lalaa , mreno, chekanao, ifugusa, kaza roho.KUWA MAKINI na mashamba ya kichanga maeneo ya matui kama unakwenda ifugusa , baadhi ya maeneo ya engusero. ANGALIA MASHAMBA YENYE UDONGO MWEKUNDU PIYA MAENEO YA MBUGA UDONGO MWEUSI ILA YANAHITAJI MVUA NYINGI.Mkuu mwaka huu haukuwa mzuri sana sehemu nyingi mazao yote yamekataa hizo mashine zikoje mkuu tusaidie kuzijua maana naanda ekari mia za shamba la alizeti kiteto
wewe pata wasiwasi wenzio tunalima na bado tupo mjini, huu ni ushauri wa bure wewe baki na wasi wasi wakokwa ushauri huu napata wasiwasi
mimi nina alizeti gunia 600 nasubiria bei ipande by desemba or january ndio nikamue mafuta kwa sasa nimeweka storeshida yangu ni hayo mashudu tu, bei yake ipo vipi kwa gunia na gunia ni kgs ngapi