Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimo cha kisasa cha nyanya

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by CHE GUEVARA-II, Jan 20, 2013.

 1. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2013
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 479
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Hello,
  Naomba wataalamu wa vitu hivi wanipatie mwongozo au ukweli kuhusu kilimo cha nyanya.

  Nataka nilime ekari 1 ya nyanya aina ya TANYA
  Kwa kutumia mtaalamu wa kilimo anipatie ushauri kuhusu namna ya kuandaa shamba hadi kuwa anatembelea shamba kwa ajili ya consultation kila wiki kuanzia kupanda hadi kuvuna.
  Nitachimba kisima cha bore hole niwe napandisha kwa pump katika tank.

  Nyanya zinakuwa tayari kwa kuuzwa baada ya muda gani
  Ekari moja inatoa nyanya kilo ngapi au ndoo za ujazo wa lita 10 ngapi?

  Naomba na miongozo mingine
   
Loading...