Kilimo Biashara na kampuni ya Namaingo Business Agency

elescoponzi

Member
Sep 28, 2016
6
0
Mwana jf ,karibu katika fursa kubwa ya kilimo chenye tija. Ni kilimo cha kisasa kijulikanacho kama vijiji biashara, ni chini ya ujio wa kampuni liitwalo Namaingo Bussness Agency ambapo utasaidiwa utaalam pamoja na soko la bidhaa au mavuno yako! Kwa mawasiliano 0769635970
 
kijiji biashara ni aina ya kilimo?
kikoje hiko mkuu?
 
huu ni ulaghai kama utapeli mwingine wowote unaoendelea hapa bongo. Hawa wanaitwa wakulima wa keyboards au kwa jina lingine wauza maneno. watakuambia utoe 100000 tsh ya form wanapiga bla bla nyingi hakuna jipya. wao interest yao no hiyo laki moja ya kingilio. wao wapo ukonga mombasa. jiulize huko kuna Mashamba? Waambie wakuonyeshe Mashamba yao yako wapi ili ukajifunze huko. wakikuonyesha natembea uchi toka kariakoo hadi mbezi. Mtu anaambiwa eleza vizuri anasema piga simu. kueleza si rahisi kwa kuandika hapa kuliko watu elfu moja kupiga simu? Watu wengi wamedanganyika na hawa wauza maneno. Huwezi kuwaongoza watu kwenye kitu ambacho wewe mwenyewe ufanyi. wanakuambia tutakuanzishia shamba. jiulize kwanini wao wasianzishe ya kwao? Hawa na Amsha ni ndugu moja. Wanaongea kama wahubiri wa kilokole waulize maswali sasa ndiyo utachoka. Mimi sina mengi ni hayo tu.
 
Hallo, si kweli kama unavofikiria naombeni kuandika Maelezo kama ifuatavyo
 
Kweli mkuu aksantee maana watu wakikosa ajila watakimbilia huko kwenye maumivu.
 
Mkuu nimeenda ili uwe mwanachama inakughalimu si chini ya 700,000,
 
Siku nyingine ukitaka kutoa maelezo kwa simu....tuma msgs kwa walengwa wako. Kuleta ishu huku barazani ni kuifungua ijadiliwe. Usingekosolewa km ungekuwa na lugha nzuri. Jifunze kuwajibu watu vizuri.....
Sawasaw nimeelewa
 
Mkuu nimeenda ili uwe mwanachama inakughalimu si chini ya 700,000,
Hawa nilisha wafanyia utafiti siku nyingi. Huyu mama aliye anzisha hii kitu ni mpiga dili fulani hivi walikuwa na jamaa fulani wanajiita Hamsha lakini nafikri wakashindwa kuelewana maana wote ni wajanja wajanja. Ukitaka kulima tafuta shamba, watafute wataalamu wa kilimo wa kuelekeze then lima. Achana na hawa matapeli wanaojidai wana masoko. kila kitu wanadandia nakujidai wanajua sana. maneno mengi utafikiri wanaubiri. Waambie waonyeshe mashamba yao sasa utachoka. Wabongo walivyo wavivu wa kufikiri wakishapigwa manane tu wanatoa fedha. Ukiwa mwanachama wa hii taasisi unanufaika nini? Je, wanatoa mrejesho wa fedha wanayokusanya kuwa inafanyiwa nini.
 
Mimi niliwahi wafuata hawa watu wakanipa mpaka vipeperushi na muhudumu niliyemkuta alionekana hajajipanga nilipokua namuattack na maswali..ila hata hcho kipeperushi waliniuzia kwa shilingi 1000 na nilianza kuwaamini lakini nilishtushwa nilipoambiwa mrejesho wa faida kwa hesabu zangu za haraka hazipungui milioni 60 yani 60,000,000 na hapo hapo kwa hyo laki saba uliyo toa wanaahidi kukupa hekari nne huko rufiji zenye nyumba na mabanda yaliyojengwa tayari kwa hyo laki7 yako pia kuna mashirika makubwa ya kijamii wanadai wanaubia nayo kama pspf,NHIF, NSSF Kuwa eti ndo wanajenga hzo nyumba wa watu ambao wamesha fanya projection watu 2000 watakao toka kila kaya nikajiulizaaaaaa...nikasema ngoja ipo siku nitaujua ukweli
 
Watu wanapenda mteremko ndo mana wanalizwa....na ukipeleka mtu akawawanachama unapewa 10,000 ......Hivi tangu waseme kuwa wanatoa mpaka sasa hakuna hata shamba
 
Back
Top Bottom