Kilimanjaro yamsusia Kikwete ama?

Katika hizo 200mil, kama 10mil zimechangiwa na familia ya Kikwete. Hivyo unaweza ukakuta 50mil imetoka kwa viongozi wakuu wa CCM wa Taifa na Mkoa. Hiyo itamaanisha kwa wananchi wamepata 150mil tu. Hiki ni kiwango cha kumfanya JK afikirie mara 2. Katika enzi zao kiwango kama hicho kilikuwa kinatolewa na fisadi mmoja tu.

Bila shaka you mean yule fisadi mmojawapo wa rada ambaye peke yake aliwamwagia UVCCm sh 400 million? Na hii ilikuwa mbele ya muungwana wetu, 'mpiganaji na 1' wa ufisadi hapa nchini!!!!!!!!! Tutafika.
 
Hao wanafiki wanaojiona Kilimanjaro ni yao wakina mama Nsilo Swai mama mtu mzima, wakina Innocent Macha na Mareale ....
......This was a scam, poleni wanafiki na zaidi pole huyo kikwete yaani ni kweli hizo hela achana na makamba hata hao wanafiki wake Macha na Agrey wangeweza kuchangisha harambee hiyo, utadhani harambee ya kanisani?QUOTE].......
....kazi kweli kweli. Ukitaka kujua nanihii ni wa aina gani, TAZAMA rafiki zake!!!
 
Wajinga ndio waliwao...yaani unamchangia mwizi pesa ya matibabu ili apone azidi kukuibia Vizuri....akili mu kichwa
 
Na Mrema - CEO Tanroads amechanga ngapi?

...acha uchokozi wee! Kwani kama kaoa nyumba moja na Inno lazima nae asail pamoja na mwenza...au unachokonoa majigambo ya UCEO pale TANROADS. Maths dont add up. Thought camp yao iko Monduli. Upepo wavuma wapi this time?
 
vyovyote vile itakavyokuwa, bado siamini kama watu wa Kilimanjaro watakuwa wameanza kuwa wapumbavu kwa kubadilisha bura na reheni.
 
Mbaya zaidi katika wachangiaji kuna Alex Massawe sasa najiuliza Alex Massawe yupi? yule wa manzesse aliyewahi kushtakiwa kipindi kile cha ujambazi ama? :behindsofa: njii hii ina vichekesho kwa kweli! mie simo!!!!
 
Hivi Wachaga wamekuwa majuha! Yaani mkoa wenye maendeleo na Wasomi leo uje kuchangiwa. jamani wachaga hii ni Aibu!
 
vyovyote vile itakavyokuwa, bado siamini kama watu wa Kilimanjaro watakuwa wameanza kuwa wapumbavu kwa kubadilisha bura na reheni.

....hakuna la ajabu hapa. Misemo katika fools paradise ni pamoja na if u cant beat them ati you join them. walianza kina Eliufoo Nkya wakati uleee!! Babake Aggrey alihujumiwa na kusalitiwa. If you recall, the first President wa Chagga Council ni nani na alifikaje hapo!!! Sasa, that was the beginning ya mambo mengi sana ya kupuuzi, and trully, KISHENZI ambayo sasa pia yameenea Tanzania nzima. Tz has also gone backwards in delivery of services to wananchi wake! Sasa hawa kina Mareale wa sasa and cohorts wanakula tu matapishi ya wale walomsaliti Mangi Mkuu. Pity, uchu flani umewafanya unprincipled and rapaciously greedy for power.... ??? .... ! what a shame!
 
Hao wanafiki wanaojiona Kilimanjaro ni yao wakina mama Nsilo Swai mama mtu mzima, wakina Innocent Macha na Mareale wao kwanza waende kumfukuza mwizi wao wa kiwanja cha Uhuru Park.[/aQUOTE]
Mkuu nijuze nina huyo kauziwa/kukodishiwa kiwanja cha Uhuru park? Kama ni kukiendeleza kama bustani sioni ubaya wowote,lakini kama ni kwa mambo mengine iko siku kitarudi hata kwa nguvu.
 
Napata mshangao kabisa, Eti CCM Inachangisha fedha kukomboa jimbo la Moshi mjini.Nadhani huu ni ujinga wa hali ya juu. Kwanini let say zisichangishwe fedha kwa labda mradi wa maji au barabara. Au ndio hela ya vitochi inaaandaliwa.
 
Tatu uliona wapi harambee ya moshi ifanyike dar si matusi hayo?
Hapa sikubaliani na wewe kwa upeo wangu kuna sababu kubwa mbili.Matajiri wakubwa wanaotokea Kilimanjaro ni wakazi wa Dar...Kuwaomba watu watoke Dar Mpaka Kilimanjaro kwa ajili ya kuchangia, is too much to ask.Sioni Panjuani,E.Lasway, Musa Eng na wengineo kuchanga zaidi ya 50m.Jaribu kuangalia vikao vya kuchangia vilivyofanyikia Moshi ulinganishe na vilivyofanyikia Dar.Ndio maana vikao vingi vya nyuma vimekuwa vikifanyikia Dar.
Pili,Matajiri ambao ni wakazi wa kilimanjaro ambao wako wachache mara nyingi viongozi wa ccm wanawapitia majumbani na maofisini kuomba michango.
 
Hizo hela ni kuzila tu zikikatiza mbele yako ila kura fanya unavyoamini
 
Mbona shemeji yetu Mkapa hakuja kuchanga? CCM wafanye wafanyavyo tu but watapigwa bao kilimanjaro.Sasa ni nani atakayesimama na Ndesa Pesa Moshi mjini?hakuna!
 
Hivi Wachaga wamekuwa majuha! Yaani mkoa wenye maendeleo na Wasomi leo uje kuchangiwa. jamani wachaga hii ni Aibu!

Mage, si mkoa umechangiwa bali ni CCM mkoa wa Kilimanjaro. Haina uhusiano na mahitaji ya watu wa Kili
 
Back
Top Bottom