Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 – Kitimtim Mlimani City leo

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,222
1,670

Mlimani City kuwaka moto kwa burudani ya kikwetukwetu, leo ni usiku wa Tuzo za Kilimanjaro Tanzania, kuanzia saa moja. Takribani tuzo 32 zitatolewa.
 
jaman mnaojua channel inayoonesha tuzo hizi za KTMA zaid ya ITV, tujuzen basi naona tbc na star tv empty bin dry
 
Msanii Bora WA kike wa taarab, Isha Mashauzi WA kiume Mzee Yusuph
 
Leo hawa jamaa wamechemsha yaani hamna msisimko hata kidogo hyu MSEMA CHOCHOTE ndie anaeongoza kwa kuvurunda, inaonekana jamaa walijipanga kiac chake, hv kwa nn wasimchukue COMEDIANS km MC e.g MPOKI?
 
Leo hawa jamaa wamechemsha yaani hamna msisimko hata kidogo hyu MSEMA CHOCHOTE ndie anaeongoza kwa kuvurunda, inaonekana jamaa walijipanga kiac chake, hv kwa nn wasimchukue COMEDIANS km MC e.g MPOKI?

kuna mwaka Mpoki alifanya vzuri sana.
 
naona wapambe wa mawingu wanashinda tu,inawezekana vp uje na mamako kwenye tuzo haujui kma utashinda?
 
Back
Top Bottom