Kilimanjaro Stars vs Uganda (The Cranes) - Nusu Fainali CECAFA Challenge Cup

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,203
23,020
Jamani, wengine tuko huku mashenzini leo... hakuna cha radio wala TV na leo kuna hii "crunch" game ya Tanzania Bara na Uganda semifinal ya CECAFA Challenge Cup.

Hivyo tunaomba wenye access ya kujua kinachoendelea wawe wanatupa updates kupitia hapa jamvini.

Mubarikiwe!!!
 
labda kuna thread nyengine wanaleta habari,,, hata mimi nna hamu ya kujua kinachoendelea
 
Mpira ni mpaka saa 11 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Sasa ni mechi kati ya Ivory Coast vs Ethiopia, kipindi cha pili matokeo bado suluhu (0-0).
 
Back
Top Bottom