Kilimanjaro Stars 1 - 0 Malawi (CECAFA 2011)

Juma jabu kaokoa goli ambalo kaseja mpira ulikuwa ushamshinda yeye kaubutua mpira ukatoka nje, kidogo ajifunge. sasa hivi ni dakika ya 27 tunashambuliwa sana sisi kili star. Mia
 
Wingi ya kushoto imekufa au haikuwepo kabisa...beki bado ni butua butua tu.
Ni dhahiri Ngassa amedumazwa na soka letu,sioni maendeleo yoyote kwa upande wake na sitashangaa Poulsen akiendelea kumweka benchi.
 
hussen javu, nudir bakar, nditi na ngasa ndo wameanza kwa upande wa mbele. katikati leo kili wamekaa vizuri na mbele wanatia moyo. Lakini cha ajabu malawi wanashangilia kwa sauti kuliko watanzania walio wengi uwanjani. Mia

Watanzania wanasubiri kuzomea......kili staz wanakosa goli hapa, jamaa wameokolea kwenye mstari.
 
There are currently 15 users browsing this thread. (5 members and 10 guests)
WAZALENDO WA UKWELI HAWA ! Manake watu wote washajikatia tamaa na hii timu..ila sisi tumo tu! Big up guys !
 
Ramadhan chidondo kapiga shuti golini na kujilaza akijua goli limeingia kumbe beki kaokoa mpira ukamrudia kwa kua alikua kalala akashindwa kusukumia mpira golini. Tumekosa goli la wazi. Mia
 
Watanzania wanasubiri kuzomea......kili staz wanakosa goli hapa, jamaa wameokolea kwenye mstari.
Nimechaka sana kuna jamaa wameshika bango kubwa limeandikwa `wazee wa best looser leo tunawazomea`
 
Nurdin bakarkafunga goli zuri sana konako dakika ya 36. pasi ilitoka kwa Mrisho ngasa. Mia
 
Back
Top Bottom