Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,265
- 105,430
Couple of things:
The so called GREAT THINKERS wa JAMII FORUMS watakuja hapa na allegations kuwa kodi itapotea hawa jamaa wakibadilisha majina pasipo kuleta ushahidi wowowte ule wa ku substantiate hizi conspiracy zao
Nawahikikishia thread itafika pages 4 na kitakachoongelewa ni theories na hisia tena kwa ku refer habari zilizoandikwa na mwandishi ambaye hawezi kuandika jina la TREVOR!
I cant wait kuwaona GREAT THINKERS wa JAMII FORUMS watakavyokuja kujadili hili jambo tena najua wengine wata refer majina ya makampuni ya simu yaliyobadilishwa lakini hakuna takaye leta ushahidi wowote toka TRA au mamlaka yoyote ile husika
JF ya 2011 imejaa wababaishaji tuu ambao hawana tofauri sana na akina John Mashaka na yule "DR" feki SHAYO.
lakini it takes all sorts to make this forum ya GREAT THINKERS
First of all that "Great Thinkers" gimmick is such a fad. And some of us do not tout ourselves as such.
Back to the issue.
"Tuliliangalia suala la kodi kwa kina na kujiridhisha kuwa halitaathiriwa kwa namna yoyote kwa kubadilishwa jina kutoka Kempinski kwenda Hyatt.Kitakachobadilika ni kampuni inayoshughulika na masuala ya uongozi wa hoteli hiyo kutokana na kumalizika kwa mkataba wake na wamiliki," alisema Mkurugenzi huyo.
Sitaki kuwa overly cynic, lakini sitaki kuanguka katika kitu kinachoitwa "trusting the experts syndrome" kwa sababu the same experts are the ones who have fvcked up so much in the past.
Waliliangalia swala la kodi kwa kina gani? Wawekezaji wa sasa wanatoa kodi kiasi gani? Rekodi zao za kod zinapatikana wapi? Tukitaka kulinganisha figures za kodi zitakavyokuwa na zilivyo sasa tutapata wapi hizi figures?
I am afraid the above quote is not satisfying and leaves a lot to be desired.