Kilimanjaro kempinski usiku na mchana

Wengine mtaishia kupamezea mate tu,sisi tukitoka mjengoni na posho zetu hapo ndo sehemu ya kupumzikia,yaani ni kama sebuleni vile.Tete te teh....
 
Halafu uliiona hiyo Hoteli ilivyokuwa ya umma wakati wa nyerere, nyang'anyang'a, unapishana na panya buku Simba Grill. Zee lile limejuwa kuiuwa nchi.

Mie nilikuwa naenda sana pale Kilimanjaro Hotel karibu kila siku lakini sikuwahi kuona panya buku hata siku moja. Inawezekana kabisa sasa hivi imeboreshwa zaidi kuliko wakati ule lakini haikuwa katika hali mbaya kihivyo. Sasa Nyerere anahusiana nini na Kilimanjaro hotel ambayo ilikuwa na Management yake na pia Board of Directors ambao walikuwa hawachukui order toka kwa Nyerere? Hebu mwache Mwalimu apumzike kwa amani badala ya kutaka kumzodoa kila kukicha.
 
Halafu uliiona hiyo Hoteli ilivyokuwa ya umma wakati wa nyerere, nyang'anyang'a, unapishana na panya buku Simba Grill. Zee lile limejuwa kuiuwa nchi.
You have concluded on a person by picking one item which is the situation at Kilimanjaro hotel under TTC. I think you have been harsh and disrespective and am wondering why????
 
tena kuna tower ya ghorofa 20 kempinski watajenga pembeni ya kilimanjaro...itakuwa kali zaidi angalia picha kwenye skyscrapercity.com itavokuwa
 
Watanzania ni wavivu, wezi, walamishi wakati hatujui kufanya kazi. Hatuna ukarimu kwa wageni, utakuta ametoka nyumbani kagombana na mke au mume, akifika kazini bado mahasira yake yako vile vile. Nahisi wakenya wataendelea kutupiga bao mpaka siku hiyo.

Tujifunze kutoka kwa wageni jinsi gani wanafanya na sisi twende kuaply kwenye vijibiashara vyetu.
 
Hivi unajua kuwa waisraeli ndiyo walioijenga?

mkuu sidhani kama imejengwa na waisraeli katika video hii wamesema investor in UNITED ARABS EMIRATE DUBAI ABS CONSTRUCTION COMPANY

MANAGEMENT INAFANYWA NA INTERNATIONAL HOTEL CHAIN MANAGEMENT KEMPINSKI, DESIGN BU SINGAPORE ARD DESIGN COMPANY, TANZANIA MD CONSULTATION DESIGN AND SUPERVISION, MAIN CONSTURCTOR NI CHINA RAILWAY CONSTRUCTION GROUP, HIVYO BASI MWISRAELI HAJAFANYA CHOCHOTE HAPA KUTOKANA NA VIDEO HII, HAPA HOTEL HII IMESHINDA TUZO YA LUBAN INTERNATIOAL AWARD
GONGA HAPA KUANGALIA 国际鲁班奖工程--坦桑尼亚乞力马加罗宾馆工程 - 视频 - 优酷视频 - 在线观看
 
mkuu sidhani kama imejengwa na waisraeli katika video hii wamesema investor in UNITED ARABS EMIRATE DUBAI ABS CONSTRUCTION COMPANY

Wao ndiyo walioijenga (the kilimanjaro) miaka ya sitini kabla nyerere hajavunja uhusiano nao (baada ya six day war), ni hao hao ndiyo waliojenga hospitali ya bugando Mwanza na st Margarete hospital (sasa Muhimbili)
 
。 oh, sasa nimekupata mkuu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom