Kilimanjaro ilishakua nchi enzi hizo

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
Katika stori zangu na wazee wa miaka hiyo, wanasema eti kilimajaro ilishakua Nchii na sio Nyerere ungekuta Arusha,Kilimanjaro na Tanga ni Nchi Huru.Hili limenishangaza sijui kwa sababu nilikimbia Histrory,inasemekana ya kuwa kulikua na viwanda na bidhaa nyingi zilikua zimeandikwa Made in KILIMANJARO Mfano Bakuli Vikombe nk.Mangi mkuu na akishikiriana na wamangi wengine huko Kilimanjaro na Arusha walikua wamependekeza eneo hilo liwe Nchi moja na aliweza kufanikiwa kukutana na Malkia Elizabeth kule Uingereza, bahati mbaya wakati anarudi kumbe na Mwalimu ndo anaingia.Mwalimu alimwambia Malkia kuwa Kilimanjaro ni sehemu ya Tnaganyika baada ya Malkia kushangaa Mwl anasema Kilimanjaro ni sehemu ya Tanganyika,Kwa hasira Mwalimu alivyotua tu, akafuta Umangi wote na tawala zote za kichief Tanzania.
Kweli wale wachaga na watu wa Kaskazini ni noma. Ingekuaje kama wangefanikiwa, sijui ungekuta sie wakusini tunaenda Nchi za Nje....huko Kanda ya Kaskazini.Ila inaonekana wangekua mbali sna........Au ndo maana Mwl alisema wale jamaa wasipewe Uraisi?
Wazee hazina kweli,hili nlikua silifahamu kabisa.
 
Mh! Wewe unamatatizo ya akili, please if the symptoms persist, seek for medical advice!
 
Isa Nyerere mmoja alikuwa ana akili kuliko hao wote
 
hii stori nimeiskia huko migombani.huu muunganiko wa arusha,kilimanjaro na tanga ungezaa nchi matata mno.
 
Nime pa miss nyumban
-Kama wangetuach saiz Old moshi yenyew ingekua kama Arusha
IMG-20181106-WA0005.jpg
 
Katika stori zangu na wazee wa miaka hiyo, wanasema eti kilimajaro ilishakua Nchii na sio Nyerere ungekuta Arusha,Kilimanjaro na Tanga ni Nchi Huru.Hili limenishangaza sijui kwa sababu nilikimbia Histrory,inasemekana ya kuwa kulikua na viwanda na bidhaa nyingi zilikua zimeandikwa Made in KILIMANJARO Mfano Bakuli Vikombe nk.Mangi mkuu na akishikiriana na wamangi wengine huko Kilimanjaro na Arusha walikua wamependekeza eneo hilo liwe Nchi moja na aliweza kufanikiwa kukutana na Malkia Elizabeth kule Uingereza, bahati mbaya wakati anarudi kumbe na Mwalimu ndo anaingia.Mwalimu alimwambia Malkia kuwa Kilimanjaro ni sehemu ya Tnaganyika baada ya Malkia kushangaa Mwl anasema Kilimanjaro ni sehemu ya Tanganyika,Kwa hasira Mwalimu alivyotua tu, akafuta Umangi wote na tawala zote za kichief Tanzania.
Kweli wale wachaga na watu wa Kaskazini ni noma. Ingekuaje kama wangefanikiwa, sijui ungekuta sie wakusini tunaenda Nchi za Nje....huko Kanda ya Kaskazini.Ila inaonekana wangekua mbali sna........Au ndo maana Mwl alisema wale jamaa wasipewe Uraisi?
Wazee hazina kweli,hili nlikua silifahamu kabisa.
Jamhuri ya watu wa rombo ingekuwa mbali sana muda huu maana iko mpakani
 
Back
Top Bottom