Kilichosababisha mauaji ya Kamanda Barlow chabainika

OK, kumbe ni walikuwa wanagombea mwanamke! Hebu iwekeni picha ya mwanamke huyo tuone alivyo bomba hata afande kuondoka kabisa.
clip_image002.jpg
clip_image002.jpg
 
Ni mama la haja lakini napata shaka kidogo kama kweli hii picha ni yeye kweli....nahisi ni picha imekuwa downloaded kutoka kwenye blogs,kama mailblog na n.k...

315652_485706508130519_1650754473_n.jpg
[/QUOTE]

Limama likari sana hili, harafu nywele zake nzuri na zimekubari ni ndefu kweli.
 
kamanda si angetulia na mke wake tu,nyumba ndogo zinaponza na mwisho wake unaweza kuwa mauti,RIP kamanda ulazwe panapostahili

wakuu yule si tuliambiwa dada yake ,au jamaa alikuwa anatembea na dada yake shemeji yake apata hasira, akaamua kumuua (angalau upelelezi haujakamilika). conclusion, Kamanda Barlow aliuwawa na Shemeji yake au munasemaje wakuu?
 
jamani me nafikra tofauti kidogo inawezekana bado wanaficha ukweli tusijue tofauti zinazoendelea ndani ya jeshi la polisi especially kamanda marehemu mwenyewe na sekta nyingine, mfano kwani yule afisa usalama aliyerushiwa risasi huko mwanza na kupishana maneno na marehemu kamanda hatuwezi kujenga hoja kweli kwamba hapo kuna tofauti either za kimaslai zaidi au hayo hayo mapenzi lakini ni ndani hizi sekta nyeti na sio huyo jamaa anayedaiwa kuibiwa manzii yake.
 
ndugu zangu hili ni fundisho achen nyumba ndogo kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.kamanda kazaliwa kwa risas kafa na risas.........
 
Huyu Mwalimu Doroth ana gundu?
1. Mume wa kwanza kafariki
2. 'Boifrendi' wake kachapwa risasi,kafa
3. Boifrendi mwingine ndo hivyo ameua na atanyea debe for good!
 
Ni mama la haja lakini napata shaka kidogo kama kweli hii picha ni yeye kweli....nahisi ni picha imekuwa downloaded kutoka kwenye blogs,kama mailblog na n.k...

315652_485706508130519_1650754473_n.jpg
[/QUOTE]

Hii ngoma hata mimi ningependa kuhudhuria nayo vikao usiku wa manane asee! Kamanda amekufa kishujaa hapa.
 

Limama likari sana hili, harafu nywele zake nzuri na zimekubari ni ndefu kweli.[/QUOTE] si Kweli Huyu si dada husika! Sie hata
 
Back
Top Bottom