Kilichosababisha mauaji ya Kamanda Barlow chabainika

Yessss, leteni nayo kama ipo. Huo ndio uchunguzi makini unaohitajika. Tutajua kwa nini ntu kakubali kufa bila masikhara. Imekaaje? Ni vizuri ikiwa active.

hahahahaaa,,,,,,KOJOLEO BHANA LABDA HUYO MTUHUMIWA ALOKUA ANACHEZEA PAMBA,,,TUTAITOA WAPI BHANA
 
Mh!!!!still not believing!!!!back to kikwajuni vs Pamba -1993,Kirumba,ligi ya muungano with one of spectacular goal of all time in Tanzania,endani na nje ya uwanja ukarimu uliobobea!!!miaka yote ustaarabu mbele!!!Lakin K leo mtu huyu umwemweka katika majaribu makubwa!!!jaman K!!!!Hakika my day is off today!!!!!!nilikupenda sana na nilikuheshimu,mfano wa wanasoka wa kweli katika nchi hii!!!!nimekumbuka mambo mengi nyuma!!!!!a young boy looking on you very excited,and more i admired even your upole,ukimya mpaka leo!!u leave very nice life after retiring.But if not tell the truth!!!
 
Alikuwa muadilifu, mchapakazi, kipenzi cha watu , tutamkumbuka daima.

Unafiki mtupu.

Alchowekeza kwa mola wake ndicho pekee kitakachomsaidia.
Kwetu kifo chake kibaki kuwa somo la namna tunktk hii sayari
vyeo na madaraka ya hapa duniani viwe ni kwa ajili ya utumishi kwa umma na isiwe sababu ya kiburi.
 
zaleo, utamu wenyewe huu hapa
552497_262987217157796_289810017_n.jpg

kama ndiyo huyu hata mimi nisingeacha bora risasi lkn nakuwa nimefaidi...weeee
 
Last edited by a moderator:
Hizi kei hizi! Cjui ziliwekwa nini??? Kwa nini usikae na kei ya mkeo tuuuuuuuuuu! Nways rip kamanda!

watu wanafuata vitu mnato.... ndo maana hata mimi nimeachana na mama gaude kwa ajili ya minato ya akina zubeda
 
Kwa iyo in short mauaji haya yamesababishwa na UZINZI.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
eti hawataki kusema ukweli.wanatudanganya"alimsindikiza dada yake walikuwa kwenye kikao cha harusi"jamani lini tutakuwa wakweli,na walidhani isingejulikana kwamba alikuwa na kimada.pols nyie,acheni wake za watu,halafu acheni ubabe maana polis huwa wanajiona wanahaki kwa kila kitu,hata kwa wale za watu.mke unae umempaki dar baada ya kumzeesha,ticha noma.

kikao cha harusi usiku wa manane duuuuuuuuuu!
 
OK, kumbe ni walikuwa wanagombea mwanamke! Hebu iwekeni picha ya mwanamke huyo tuone alivyo bomba hata afande kuondoka kabisa.
Mkuu tazama gazeti la Risasi la leo, mtoto mtoto? Hasara ya nzi kufia kwenye kidonda, hiyo ni dhambi ya asili kama ilivyo rushwa, ni mbaya lakini kuikwepa ama kuiacha mashigholo magheni, mbombo ngafu.
 
cacico,
A Jamaican Man was making love to his
woman for the first time in his lifr. He then
suddenly screamed and ran out of the
room.. then came back with a glass of water,
and poured it in the woman's vagina.
Frightened, the woman shouted 'Wot da Hell
Ya Do Dat Faw?' ...and the man replied,
'Damn'it woman ... dis ting too sweet man
~me gwan dilute it, rememba me diabetic'

Hii hata dilution kuna wakati inashindikana! Yaani hii unatakiwa kumuomba MUNGU moyo wa kushinda tamaa; hapo una uhakika wa kuweza!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom