Kilichomuua AMINA CHIFUPA

Status
Not open for further replies.
Ndugu baomba mnijuze anayefahamu kilichomuua marehemu amina chifuta

Mkuu,

kwa heshima na taadhima naomba uondoe hii hoja kwani si vizuri na haina tija, najua ni siasa zimekuleta hapo lakini kumbuka wote tunapita.... na sidhani kama tunapenda kujadiliwa kihivyo
 
Hayo yashatokea hata kama aliuwawa it doesnt matter but tutamkumbuka kwa yale aliyoyafanya
 
ukiweza pia tutajie kilichomuuwa ndugu yko wa karibu mara ya mwisho...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom