kweli sasa ni kama hatuna tena mtetezitutaingia barabarani
Usipoteze muda kulaumu, wewe kama mwajiriwa wa sekta ya serikali au binafsi fanya lililo katika nafasi yako!
Hujaona wana GGM jana walichofanya, hadi jamaa wa SSRA akaamua kuomba mwezi 1 wa ziada ili wakafanye mawasiliano zaidi?
wangekataa, waraise awareness , wana magazeti wangeandika wananchi wangeweka presha kabla hata rais hajasaini, wako kwenye hii mitandao, wananchi hatuwezi kufuatilia bunge muda wote wao kwanini kwenye shugulizao za kila siku hawakulisema hiliunachekesha kweli. Wabunge wa ccm ndiyo najority bungeni hivyo jambo lolote wanalotaka lipite litapita tu. Ulitegemea wabunge wa upinzani wafanye muujiza gani wakwamishe mswada usipite?
Unachekesha kweli. Wabunge wa CCM ndiyo najority bungeni hivyo jambo lolote wanalotaka lipite litapita tu. Ulitegemea wabunge wa upinzani wafanye muujiza gani wakwamishe mswada usipite?
Ukisema wabunge wa upinzani ni wachache hoja hiyo inakuwa haina mashiko, maana hiyo chadema inapewa nafasi ya kujadili chochote kinachopitiswa. NA PIA KUSEMA HAWANA UWEZO WOWOTE WA KUZUIA KITU NATO SIO KWELI MAANA HIYO KAMBI YA UPINZANI WANGEIVUNJA,basi hata hiyo madini wanayojadili leo haina maana ni bora waache maana haisaidii.HAWA WATU WAMESHINDWA KUTUTETEA LAZIMA TUWASEME.