Kilichojiri bungeni Tarehe 13 April (Muswada wa mafao)

Ndugu zangu wana jf,nimeshangazwa sana na kusikitishwa sana na sheria mpya ya SSRA juu ya mafao ya wafanyakaZI,NIMESIKITISHWA SANA NA WABUNGE AMBAL TUNAWAONA KAMA WATETEZI WETU KUPITISHA SHERIA HII KIMYA KIMYA WAKIJUA KUWA WAO HAIWAATHIRI... NA KWAKWELI HAPA NAMAANISHA WABUNGE WA UPINZANI HASA HASA CHADEMAA,Hapa namaanisha akina ZITO,MNYIKA,TUNDU,MBOWE.MDEE.etal...
SISEMI KUWA MNA UAMUZI WA KUIZUIA MAANA HAIWEZEKANI MAANA WA NDIOOO wengi lakini angalau mngepaza sauti tungewawikia.lakini kwa sasa mtawaambia nini wa tz?
i must admit,i am utterly disappointed with you guys... you havent done your home work properly..

Hili ni swala la msingi kabisa kujiuliza... Je hawa wapinzani walikuwa wapi wakati hii sheria inapitishwa? Au ni kwasababu haiwaathiri?
 
Da! haya mambo yanachanganya sana.
Labda kwa tuangalie kwa upande wa pili, vipi wabunge wa CCM na vyama vingine hawajatuangusha?
 
Ilishapitishwa wanarejea tu,mmejaa uhujumu uchumi ndo maana mnaleta unafiki wenu humu.
 
Da! haya mambo yanachanganya sana.
Labda kwa tuangalie kwa upande wa pili, vipi wabunge wa CCM na vyama vingine hawajatuangusha?

hao wanajulikana ni wasaliti,CHADEMA TULIONA KAMA TUMAINI, lakini sasa HATUNA TENA TUMAINI. tulidhani tuko pamoja noa LAKINI WAMETUACHA KATIKATI YA MSITU MNENE TUILIWE NA MAMBA.
uko wapi umuhimu wakuchagua upinzani?
uko wapi umuhimu wa kujitolea kuleta mabadilko kwa hawa wanaotuacha katikati ya giza nene?
 
hakuna watu wanyonge nchi hii kama wafanyakazi, mtu anaweza kusema wakulima, lakini ukiangalia kodi ya m/kazi kwa serikali ni kubwa sana.LEO HII CHADEMA WAMETUACHA HEWANI
 
Hili ni swala la msingi kabisa kujiuliza... Je hawa wapinzani walikuwa wapi wakati hii sheria inapitishwa? Au ni kwasababu haiwaathiri?
Hilo la kutoathiriwa ni moja. Jingine ni kuwa wabunge wote Nov 2010 walihongwa 90m kila mmoja ili wanunue magari, fedha ambazo zilikopwa kwenye hii mifuko yetu. Ulitegemea wafanyeje?
 
Hivi siku zote unadhani Chadema wapo kwa ajili ya kusaidia wananchi hawa Chadema wapo kwa ajili ya maslahi yao binafsi.

ule mswaada hauna kipengere hicho ..kilichomekwa baada y kusainiwa kuwa sheria...
 
hakuna watu wanyonge nchi hii kama wafanyakazi, mtu anaweza kusema wakulima, lakini ukiangalia kodi ya m/kazi kwa serikali ni kubwa sana.leo hii chadema wametuacha hewani

kwanza ujui usemalo,hata bunge ukuangalia kwa tabia yako hii..cdm wangechaguliwa kuendesha nchi na kupitisha sheria hii basi tungesema haya unayosema sasa,katiba mpya walipiga kelele lakini rais alisain...jana bwana mushi wa ssra alituambia kua walidanganya rais na rais akasain na kwa hili serikali ilaumiwe sana pamoja na nssf & ppf kwa kutaka kuwaib ia mabosi wao(wafanyakazi) kwani wangewajulisha wafanyakazi kama wangekua wanashinikizwa na serikali.

Pendekezo:
Wanachama wote wachukue pesa zao zote iwapo kanuni itatenguliwa tuone kama kweli nssf na ppf watajiendeleza kwani wamewadharau sana wateja wao
 
mkuu ed,is that true??

yah,Ed is true,WEWE UJAONA PICHA?MBONA WANANCHI WANAOFUATILIA BUNGE NDO WAO PIA WANASHTUKIA HICHO? KWA TAARIFA YAKO NDUGU YANGU WA KARIBU YUKO TAMIKO,ANASEMA SHERIA HII YA MIAKA 55 NDO UCHUKUE MAFAO HAYAKUJADILIWA...IVI RAIS WETU AMEKUA MJINGI KIASI CHA KUTOTAMBUA MAWAZO YA DARASA LA NNE?
 
Mi nadhani si sahihi kuwalaumu chadema kwa kiasi hicho ukizingatia unatumia maneno ya uwingi, hivi hamjaona nguvu ambayo daima hutumika bungeni kuzima nguvu yao? Halafu pia kwa uwingi wa CCM kuna mambo mengi sana ambayo Chadema wanashindwa kuyaadress kulingana na matakwa ya wananchi hivyo basi yaajhitaji nguvu ya wananchi zaidi nje ya bunge ili yaweza kurekebishika, villevile kwa uchache wao, ningumu kwamba kila jambo na tatizo la nchi hii kwa sasa linaweza kuwasolved na wao bali inatakiwa sisi kama raia tuungane nao nje ya bunge kudai haki pokonywa, lakini vile vile leo asubuhi hoja binafsi ilitolewa bungeni kujadili jambo hili walisema saa 11 watalitolea maamuzi juu ya kujuadiliwa kwake for now I am far from home so i dont know what takes plce in Bunge .
 
huu ujinga kwanza sisi wenye pesa zetu lazima tuwe na nguvu na mamlaka juu ya pesa zetu kuliko hawa watu sababu hizo pesa ni jasho letu liwalo na liwe
 
DR RICHARD,nakuunga mkono sana ukiangalia na demokrasia ndogo ya Bungeni kweli ili jambo cdm wasingefurukuta bila ya nguvu za wananchi na tutambue hata idadi ya wabunge walioomba kuchangia hoja yenyewe na waliopata muda/nafasi ya kuchangia.kwa hili ccm wanaonyesha jinsi gani hawako makini na wananyonya watanzania
 
Ndugu zangu wana jf,nimeshangazwa sana na kusikitishwa sana na sheria mpya ya SSRA juu ya mafao ya wafanyakaZI,NIMESIKITISHWA SANA NA WABUNGE AMBAL TUNAWAONA KAMA WATETEZI WETU KUPITISHA SHERIA HII KIMYA KIMYA WAKIJUA KUWA WAO HAIWAATHIRI... NA KWAKWELI HAPA NAMAANISHA WABUNGE WA UPINZANI HASA HASA CHADEMAA, Hapa namaanisha akina ZITO,MNYIKA,TUNDU,MBOWE.MDEE.etal...

SISEMI KUWA MNA UAMUZI WA KUIZUIA MAANA HAIWEZEKANI MAANA WA NDIOOO wengi lakini angalau mngepaza sauti tungewawikia. Lakini kwa sasa mtawaambia nini wa Tz?

I must admit,i am utterly disappointed with you guys... you havent done your home work properly..
mkuu nakuonea huruma na hawa jamaa jinsi wasivyopenda kukosolewa wee subiri uone kashfa na kebehi utakazozipata
 
Nyie mliwaunga mkono lini??si mlimchagua Zainabu Kawawa na Yule Angela kairuki kuwa ndo wabunge wenu wanaowakilisha wafanyakazi kwa nini msianze na hao kwanza???????????!!!!!!!!!Hivi Chadema ni TUCTA siku hizi au?????????waulizeni TUCTA wanajua vizuri sana
 
hakuna watu wanyonge nchi hii kama wafanyakazi, mtu anaweza kusema wakulima, lakini ukiangalia kodi ya m/kazi kwa serikali ni kubwa sana.LEO HII CHADEMA WAMETUACHA HEWANI
mkuu unajipenda kweli wewe? au nawewe ni CCM n nn?
 
Back
Top Bottom