kix
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 319
- 86
- Thread starter
- #61
Hivi hao wabunge wa CCM ambao huwa wanasinzia harafu wakishituka na kukuta mama makinda anasema Nafikiri walisomea Ndio wameshinda ..hata kama upinzani wamesema hapana kutokana na Idadi yao ndani ya Bunge
harafu jibu lenyewe kama hawanaga uhakika (Nafikiri )ndo nini?
Cha msingi ni kuweka wapinzani wengi ndani ya bunge Serikali hii inatakiwa iondoshwe madarakani haifai ,imechachoka kifikra
consern yangu mimi sio kushindana kwa ndio au hapana kwani mbona harakati za katiba mpya walikua wachache hivihivi bt walishinda?
mie natazama kama wao wangekua wa kwanza kulipigia kelele hili swala mapema wakati wa mswada hata kama ungepita wananchi i mean wafanyakazi na wanaharakati wangepata awearness kabla Raisi hajausaini na mijadala ingekua mikubwa ya kujaribu kukwamisha mswaada huu kua sheria,sasa wengi wetu tumefahamu hili jambo baada ya kua sheria na sio mswada tena. kilichotakiwa ni wao kutumia bunge kufanya public awearness na nguvu ya umma ndo ishindane na hizo ndio za hao walioupitisha