Kilicho msababisha Joyce kung'ata ulimi wa mpenzi wake ni "orgasm"

hehehehe duh jamaa alijiexpress mama Joy akazidiwa utamu ulizidi akaamua kumng'ata ulimi kabisa utamu ulizidi jamani mmewe alikuwa hampi mambo yetu yaleeeee Msanii,Masanilo....
 
mmmmmnnhh? eti? Uh nyce one nataka nikamtafute mmoja nione hayo maufundi.... duh!

Niliwahi sema mke wa mtu mtamu ukimpata .... unajikunja kweli kweli mpaka unakuwa mdogo unampa raha unakuna mpaka unampita mmewe...,si unaona Joyce huyo katoka Buguruni mpaka Tanga...
Ila ukikamatwa balaaa.
 
Hehheeee, this lady must be HOT.
Anybody can help me to get her phone number? Karumanzira mie, razima nim-tirai (try).
 
Tusimsahau kijana aliyemkidhi mahitaji yake joyce, tumpe sifa zake nae kwani bila ya ufundi wake lisingelitokea hilo. Utaitafunaje nyama wakati ufizi Hauna meno?:)
 
Itabidi nimtafute bi Joyce Msilanga,wanawake wenye hisia kali hivyo nadra kuwapata, ulimi sitompa tukiwa uwanjani akitaka aniparue makucha mgongoni.
 
Itabidi nimtafute bi Joyce Msilanga,wanawake wenye hisia kali hivyo nadra kuwapata, ulimi sitompa tukiwa uwanjani akitaka aniparue makucha mgongoni.



kwa maana nyingine unapenda a bit of pain ?au mkuu wewe ni mtu wa spanking?
 
MODS;

Kama toto dogo nasoma hii thread, kuna hatari ya hii toto kuharibika . . .

Peleka hii thread kule kule kwa walioruhusiwa kuongelea habari hii.
 
UPO WAPI Joyce Msilanga WANA JF WANAKUSUBIRI KWA HAMU KUBWA KUSIKIA NINI KILITOKEA SIKU ILE
 
Hello guys,i have joined the jamiiforums website.
Please chat with me.

thanxs
regards
mweu
:D
 
Back
Top Bottom