Kili Music Awards 2011

The picture quality is letting ITV down hata sound person not doing a good job.
 
Hiki ninachokiona kwenye TV ni kinyaa kitupu, nakubaliana nanyi nyote mliochangia hapa hebu angalia huo wimbo wa washindi hata hujui wanaimba nini. Hao washereheshaji wamepwaya sana hata sijui wamewaokota wapi, huyo dada mwenye gauni la kitenge huyo mtoto wa clouds aliyeondoka ITV ambako alikua anasoma taarifa ya habari sasa anakaa kwenye kipindi amplifire hata sijui ni kipindi gani alichoona cha maana ni kuvalishwa nguo za kushona na remtula nguo za winter kwenye jangwa, siamini hiyo tuzo eti inaenda tena kwa yule mwehu wa ukisikia paa kwa kweli ni hovyo kabisa inamaana mama ntilie haujapata tuzo wimbo wa asilia unaozungumzia maisha halisi ya mtanzania ajabu na kweli jamani
 
Ndo ninavyoona pia. Yani hazinipi hata hamu ya kuhudhuria, wanashindwa kurekebisha mambo madogo sana, wasanii wanaimba as if hawakuandaliwa wanashindana na vipaza sauti, inasikitisha.

Ha ha ha haya bana...Bado T-shirt za Jf bado zipo?Nikupunguzie Stress.
 
Hiki ninachokiona kwenye TV ni kinyaa kitupu, nakubaliana nanyi nyote mliochangia hapa hebu angalia huo wimbo wa washindi hata hujui wanaimba nini. Hao washereheshaji wamepwaya sana hata sijui wamewaokota wapi, huyo dada mwenye gauni la kitenge huyo mtoto wa clouds aliyeondoka ITV ambako alikua anasoma taarifa ya habari sasa anakaa kwenye kipindi amplifire hata sijui ni kipindi gani alichoona cha maana ni kuvalishwa nguo za kushona na remtula nguo za winter kwenye jangwa, siamini hiyo tuzo eti inaenda tena kwa yule mwehu wa ukisikia paa kwa kweli ni hovyo kabisa inamaana mama ntilie haujapata tuzo wimbo wa asilia unaozungumzia maisha halisi ya mtanzania ajabu na kweli jamani

hakuna ki2 hapo,
 
jamani have you noticed! Wanawake wamebaki kubeba tuzo! Where is the gender balance!

Big up to mzee small na bi kidude !
 
pass mark zake ni hizi, angalia cno number 0485

penniel.jpg

binafsi sijapendezwa kuweka matokeo yake ya mtihani hapa jamvini, sioni busara uliyotumia mbona ya kwako hujawekwa?? Huyu binti alikuwa anafanya kazi screenmasters wale waliokuwa wakihost kipindi cha music cha extreem kupitia channel ten, sina hakika kama bado kipo

hakika tuzo za mwaka huu zimekosa mvuto,
 
Yes! Tegete na Mgosi mumeonyesha maana ya ku-share stage! Wengine walikuwa wanauza sura zao!
 
Wimbo bora wa Afrika Mashariki;

Nitafanya-Kidumu Feat Lady Jay Dee
waandaji wameshindwa kufanya mawasiliano na jay dee na kidumu kujua kama hawaji alalfu wakawa record wakipokea tuzo...

halafu mbona nyimbo nyingine kama za mwaka juzi
 
Wanachakachua matokeo sijui ni kwa maslahi fulani but ukihoji utaambiwa 'Watanzania wamechagua wenyewe'
 
Who is Cpwaa? The dude kept sending text msgs ili tumpigie kura, I think that the hard work aliyokuwa akisemea iliyomsaidia kushinda
 
Back
Top Bottom