babayah67
JF-Expert Member
- Mar 28, 2008
- 493
- 79
Jamani mi nafikiri Tatizo sio hiyo shilingi 200 iliyopandishwa. Watu wanacholalamikia hasa ni kupandishwa kwa gharama za Maguta (200 hadi 1800), bajaj (300-1500) na hivi vifaa ndio hutumiwa saana na walala hoi kubebea mizigo yao toka mashambani kupeleka kwa walaji. Hii maana yake nini??? Hii inamaana kuwa bei ya vitu vinavyosafirishwa na wakulima toka kigamboni kwenda mjini itaongeza kupanda kwa bei kwa bidhaa mbalimbali. Ndio maana watu wanalalamika.