Kilemba ameacha wapi?

Waislamu huwa hawali kwa mkono wa kushoto. Kwahiyo hiyo protoko inayozungumziwa hapa ni dhahiri si ya kiislamu. After all hivi hizi protoko aliziweka nani kiasi kwamba inakuwa ni big deal ukizivunja????!!!!!!!!!!!!!!!!

na kama mtu ni full mashoto kama obama. au kama alipata ajali ya bodaboda mkono wa kulia ukakata?
 
Akha babu kubana nywele siku mojamoja, mavilemba kila kukicha inahuuuuuuuu, sura yenyewe inalipa sema tu mambo ya dini/imani yanambana, kama sio hivyo mbona mngekoma....

Kilemba si maadili ya dini, waislam hawafuniki kichwa tu bali hata kifua, mikono na nguo ya stara ambayo ni ndefu. Kama anavaa ni mapendekezo yake, has nothing to do with Islam.
 
Sikutegemea wala sikudhani kama kuna vitu kama hivi, jamani!!!
Haya fest ledi wetu kula vitu, ila kumbe u-mrembo!!! waooo!!
I like this ila mhabarishaji naomba unifahamishe hawa watu walikua wapi siku hiyo maana naona kama wako maeneo flani ambayo hua nami natembelea siku za mapumziko!!!:flame:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom