Kilema vs kipofu

Luthar

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
519
105
Kilema na kipofu walikuwa safarini ikatokea gari likawa chafua kwa maji machafu yule kilema akamwambia tulikimbize gari kipofu akamwambia tulliza munkari nilisha save number usipime ni full mavicheko
 
Hichekeshi inakera kwa sababu inalenga kuwa dhalilisha ndugu zetu wenye uwezo kikomo wa kimaumbile, shame on you! these type jokes were used in 17 century.
 
Hichekeshi inakera kwa sababu inalenga kuwa dhalilisha ndugu zetu wenye uwezo kikomo wa kimaumbile, shame on you! these type jokes were used in 17 century.
<br />
<br />
samahani kama imekukera ila utani hauangali mtu yuko na tatizo gani maana haya maisha kuna matatizo mengi pia hakuna asiye kuwa na tatizo
 
Kilema ni general term kwa watu wenye mapungufu ya viungo,nadhani wewe ulikuwa unamaanisha kiwete vs kipofu.
 
Don wor' aka usijali ndio unaanza kukua kijana siku njingine kabla hujaandika huku iandike kwenye karatasi kisha ujidai kama umendikiwa uisome kwa makini uielewe uikosoe kisha ukishaona mapungufu yake ndio uipost jf.
 
Back
Top Bottom