Kile kinachoendelea Uganda ni sawa na zimwi la maonesho Afrika

Mkuu, maudhui ya makala yako ni nzuri plus uhalisia wa siasa za Africa especially nchi ya Uganda. Ila kuna mambo mengi ambayo unatakiwa uyafanyie kazi ili kuboresha makala zako ikiwa ni pamoja na kuto-bore wasomaji. kumbuka pia, Nchi ya Uganda imekuwa kwenye misukosuko ya kisiasa tangia enzi za Milton Obote, Iddi Amini-Dada na hata huu uliopo wa sasa (Yoweli Kaguta Museven), hivyo Machungu ya utawala wa kiimla haujasahaulika kwa waganda wengi. Mimi ushauri wangu ni hivi:-
  1. Jaribu kuzungumzia vitu muhimu ambavyo vitamfungua macho msomaji wa makala. Hivyo utatumia paragraphy chache lakini zenye ujumbe mzito. Epuka kurudia rudia maneno.
  2. Hukufanya utafiti kuhusu maoni ya waganda kuhusu utawala uliopo. Wangapi wanampinga museveni? na kwa nini wanampinga? na in case wanampenda ni kwa nini?
  3. Sheria za nchi ya uganda zinasemaje kuhusu ukomo wa Rais? hapa namaanisha Katiba ya Nchi ya Uganda inasemaje kuhusu ukomo wa Rais? JE Museveni kubakia madarakani kwa karibia miaka 30 kumeisaidia vipi Uganda in term on internal political stability?
  4. KWenye Makala yako sijaona tatizo ni nini, je tatizo ni Museveni or mufumo wa Utawala wa Nchi ya Uganda? vipi kuhusu waganda wenyewe? je wananchi hawastahili kulaumiwa in whatever happening in Uganda? je wametimiza wajibu wao inavyotakiwa?
  5. Siasa nzuri hujenga uchumi mzuri and viceversa. uchambuzi wako haujasema chochote kuhusu uchumi wa Uganda unavyoathiri siasa ya Nchi husika. vipi kuhusu uasi wa LRA na issue ya Joseph Kony?
  6. Kumbuka ku-acknowledge source ya taarifa yako. kwani baadhi ya taarifa nyingi naona umezikopi mahala, (wikipedia) etc)
  7. vipi kuhusu Jumuia ya Africa Mashariki na siasa za Uganda? vipi kuhusu influence ya Rwanda na Tanzania?
After all, Keep up the good work.
(Urakoze, Thanks)
prof
Asante sana prof kwa ushauri na maoni yako juu ya uboreshaji wa kile nilicho eleza katika makala yangu.
Pili natambua umuhimu wa maoni, Rai na uboreshaji hivyo najua kuwa kwa namna mmoja yawezekana makala yangu isikizi maudhui yote hivyo naheshimu pia mchango wa wachambuzi wengine kwa kuongezea pale ambapo mimi sikuelezea ili kupanua wigo wa maarifa kwa wote humu ndani ya jamvi letu.

Asante. Ulakoze chane nawe
 
Biggest up Bro makala nzuri sana nafikiri hii ni formal series basi jitahidi kuzingatia usahihi wa kisarufi kuna mahali pengi unashindwa kutofautisha 'L' na 'R' pia statistics zipo twisted kidogo.

Kudos.
Ok kaka Asante kwa ushauli kaka nitaufanyia kazi
 
Mkuu, maudhui ya makala yako ni nzuri plus uhalisia wa siasa za Africa especially nchi ya Uganda. Ila kuna mambo mengi ambayo unatakiwa uyafanyie kazi ili kuboresha makala zako ikiwa ni pamoja na kuto-bore wasomaji. kumbuka pia, Nchi ya Uganda imekuwa kwenye misukosuko ya kisiasa tangia enzi za Milton Obote, Iddi Amini-Dada na hata huu uliopo wa sasa (Yoweli Kaguta Museven), hivyo Machungu ya utawala wa kiimla haujasahaulika kwa waganda wengi. Mimi ushauri wangu ni hivi:-
  1. Jaribu kuzungumzia vitu muhimu ambavyo vitamfungua macho msomaji wa makala. Hivyo utatumia paragraphy chache lakini zenye ujumbe mzito. Epuka kurudia rudia maneno.
  2. Hukufanya utafiti kuhusu maoni ya waganda kuhusu utawala uliopo. Wangapi wanampinga museveni? na kwa nini wanampinga? na in case wanampenda ni kwa nini?
  3. Sheria za nchi ya uganda zinasemaje kuhusu ukomo wa Rais? hapa namaanisha Katiba ya Nchi ya Uganda inasemaje kuhusu ukomo wa Rais? JE Museveni kubakia madarakani kwa karibia miaka 30 kumeisaidia vipi Uganda in term on internal political stability?
  4. KWenye Makala yako sijaona tatizo ni nini, je tatizo ni Museveni or mufumo wa Utawala wa Nchi ya Uganda? vipi kuhusu waganda wenyewe? je wananchi hawastahili kulaumiwa in whatever happening in Uganda? je wametimiza wajibu wao inavyotakiwa?
  5. Siasa nzuri hujenga uchumi mzuri and viceversa. uchambuzi wako haujasema chochote kuhusu uchumi wa Uganda unavyoathiri siasa ya Nchi husika. vipi kuhusu uasi wa LRA na issue ya Joseph Kony?
  6. Kumbuka ku-acknowledge source ya taarifa yako. kwani baadhi ya taarifa nyingi naona umezikopi mahala, (wikipedia) etc)
  7. vipi kuhusu Jumuia ya Africa Mashariki na siasa za Uganda? vipi kuhusu influence ya Rwanda na Tanzania?
After all, Keep up the good work.
(Urakoze, Thanks)

Mi nadhani mkuu na wewe uko huru kuongeza kile alichasahau au kuwasilisha mtoa post. Yeye kafanya alichoweza.Tutakushukuru sana
prof
 
Back
Top Bottom