Mama,
Nakubaliana nawe kabisa. Mi nilisema huyu Mama mwenzio msanii huyu, haya!
(Wakati nakunukuu nime redact yale nisiyo kubaliana nayo, ya "ndivyo tulivyo," yenu na Dr. Watson.)
Online activism mkuu Kitila ndio inatupa shida na chuki sisizo za msingi, mama kilango sio mbunge wa JF ni mbunge wa CCM, akitaka urais hakatazwi kugombea mradi anataimiza masharti ya CCM, kama wewe ulivyogombea unyekiti wa UV-CCM, kwani kiliharibika nini?
Unajua usanii ni pamoja na kupigana na ukuta, na kuingilia ishu za nchi isiyokuwa yako! ndio zinakuwa kelele za mlango wananchi wamelala ndani! na mama kilango anaendelea na kazi kama kawa!
...mama na hii movement ya kuwajifanya neutral needs also a degree or an empirical study to see ukibaraka wake kwa mafisadi?
alipohojiwa na mwanakijiji nilimsupport na nikajua wananchi tumepata msemaji wetu bungeni. Baada ya kusikia kelele zake bingeni kuhusu pesa za EPA kurudi na sio waliohusika na huo ufisadi kukamatwa, imani ilinitoka. Hap JF motto ni kutalk openly na kucall spade a space na sio big spoon. In case of mama Kilango she got to be big spoon ili usionekane una chuki za kike, what the he...
Ushahodhi mpaka nchi yako na si yangu tena!
What an oblivious obnoxious off point churning bag of bones!
Hapendwi mtu, ni hoja tu hapa.
Online activism mkuu Kitila ndio inatupa shida na chuki sisizo za msingi, mama kilango sio mbunge wa JF ni mbunge wa CCM, akitaka urais hakatazwi kugombea mradi anataimiza masharti ya CCM, kama wewe ulivyogombea unyekiti wa UV-CCM, kwani kiliharibika nini?
Kutaka kuhodhi kila kitu ndiko kumetufikisha hapa tulipo watanzania. Kuhodhi madaraka, mawazo, info mpaka kuhodhi hoja, uraia na nchi !! lol. Unahodhi kila kitu mpaka una......... Hakika Pundit, you have made my day !!!. At the frontiers of knowledge, it is the difference in the thinking that points the way.